Swahili TimesOvjeren akaunt

@swahilitimes

Habari, Burudani & Elimu | swahilitimes@gmail.com | readers’ views via tweet replies do not reflect the position of Swahili |Telegram:

Dar es Salaam, Tanzania
Vrijeme pridruživanja: srpanj 2012.

Tweetovi

Blokirali ste korisnika/cu @swahilitimes

Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @swahilitimes

  1. Serikali Wilayani Moshi imelifunga kanisa la Evangelist Assembles of God (E.A.G.T) Mawenzi lililopo Mtaa wa Vigae kutokana na mgogoro kati ya waumini na uongozi wa juu wa kanisa. Waumini wanapinga uamuzi wa uongozi kumfukuza kwa hila mchungaji mwanzilishi na kumleta mwingine.

    Poništi
  2. Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson akikabidhi vifaa vya thamani ya US$ 18M (TZS 41.6B) kwa JWTZ kama sehemu ya Kikosi Maalumu cha Kulinda Amani Afrika. Pamoja naye ni Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo na Waziri wa Ulinzi, Dkt Hussein Mwinyi.

    Poništi
  3. Wanafunzi 14 wamefariki dunia huku wengine 39 wakijeruhiwa jana Februari 3 katika Shule ya Msingi Kakamega nchini , kutokana na kukanyagwa na wenzao na wengine kuanguka, baada ya ngazi toka ghorofa ya 3 kuvunjika wakati wakiteremka chini baada ya kumaliza vipindi vya siku.

    Poništi
  4. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa ajira 137,054 sawa na asilimia 25% ya ajira zote zilizozalishwa na Sekta Binafsi Tanzania zilipungua kutoka ajira 239,017 mwaka 2016/17 hadi ajira 137,054 mwaka 2017/18.

    Poništi
  5. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha kuwa, kati ya ajira 552,063 zilizozalishwa Tanzania mwaka 2017/18, ajira 415,009 sawa na 75% zilikuwa ni ajira kutoka Serikalini (18,000 kutoka Serikali Kuu + 397,009 kutoka katika miradi ya maendeleo)

    Poništi
  6. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa mwaka 2017/18 kulikuwa na jumla ya ajira 552,063 zilizozalishwa Tanzania ikilinganishwa na ajira 453,466 kwa 2016/17. Imeeleza kwamba ongezeko hilo ni sawa na ajira 98,597 (21.7%) kati ya mwaka 2016/17 na mwaka 2017/18.

    Poništi
  7. Poništi
  8. Utofauti wa mpangilio na mandhari ya makazi toka angani, kwa maeneo yanayopakana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni sehemu ya eneo la Msasani na kulia ni sehemu ya eneo la Oyster Bay. Maeneo haya mawili hutenganishwa na barabara ya Ali Bin Said. 📸Google Earth/Maxar Technologies

    Poništi
  9. Tanzia Rais Mstaafu wa , Daniel arap Moi, amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 95. Kuzaliwa: Septemba 2, 1924 Urais: 1978 - 2002 (miaka 24) Taaluma: Mwalimu Mke: Lena Moi (kf. 2004) Watoto: 8 Moja ya tishio kubwa akiwa madarakani: Jaribio la kupinduliwa mwaka 1982.

    Poništi
  10. Uwazi Jumanne Februari 4, 2020

    Poništi
  11. Mwanaspoti Jumanne Februari 4, 2020

    Poništi
  12. Habarileo Jumanne Februari 4, 2020

    Poništi
  13. Mtanzania Jumanne Februari 4, 2020

    Poništi
  14. Nipashe Jumanne Februari 4, 2020

    Poništi
  15. Majira Jumanne Februari 4, 2020

    Poništi
  16. Mwananchi Jumanne Februari 4, 2020

    Poništi
  17. Uhuru Jumanne Februari 4, 2020

    Poništi
  18. TanzaniaDaima Jumanne Februari 4, 2020

    Poništi
  19. Mahakama ya Kikatiba Malawi imebatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 21 2019, na kusema haukuwa huru na wa haki. Maamuzi hayo yamefuta ushindi wa Rais Peter Mutharika pamoja na Wabunge na Madiwani wote. Rais Mutharika anabaki madarakani kusubiri uchaguzi mpya.

    Poništi
  20. Poništi

Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.

Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.

    Možda bi vam se svidjelo i ovo:

    ·