Mh.waziri Mkuu hii ni barabara KUU ya mahenge kwenda Morogoro mjini barabara ni mbovu mh.waziri Mkuu tunaomba mtusaidie nasisi mheshimiwapic.twitter.com/lu9YwkZQwv
You can add location information to your Tweets, such as your city or precise location, from the web and via third-party applications. You always have the option to delete your Tweet location history. Learn more
Mh.waziri Mkuu hii ni barabara KUU ya mahenge kwenda Morogoro mjini barabara ni mbovu mh.waziri Mkuu tunaomba mtusaidie nasisi mheshimiwapic.twitter.com/lu9YwkZQwv
nisaidie mteule wa rais anapoitwa shoga mamlaka ya rais haizalilishwi? Wabunge wa ccm tafakari mumesaidia nini kulinda rais
Ni Heri waziri mkuu, mhe. @majaliwa_kassim !
Dua yetu ni #tanzania MPYA yenye jiji la Kisasa, makao makuu nchi Dodoma bila kusahau ahadi za Rais @MagufuliJP kwa wilaya za MPWAPWA,Chemba, Kondoa na Kongwa kama zinavyotekelezwa wilaya Bahi na mjini Dodoma !pic.twitter.com/bN4RNgsnRo
Na wale MASHEKHE WA ZANZIBAR pia unawatakia mwaka mpya wa kuendelea kuwadhalilisha na kuwatesa !kumbuka duniani tunapita na kifo kipo karibu
Tafadhali muheshimiwa nakuomba muwatoe wale MASHEKHE kutoka ZANZIBAR maana mnadhulumu na family zao kama ni adabu basi inatosha!ALLAH' GREAT
Mh. Pole na kazi ,Nina mgonjwa amevunjika mguu asubuhi saa 2 mpaka sasa hajapata huduma na nimwasilika naomba msaada wako
mgonjwa yupo hospital maswa
Pembejeo hari ni mbaya tunduru laki kwa wakazi wa masasi Nachingwe Mtama na sehemu zingine wao wamepata but why tunduru tuna nini
Asante Mheshiimiwa PM. Heri ya mwaka mpya na mafanikio katika utendaji wako na Serikali ya awamu ya 5.
na wewe pia mheshimiwa mwenyezi Mungu awaongezee hekima ya kuliongoza taifa.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.