@majaliwa_kassim Mheshimiwa wale wanaokula Viwavi dodoma vipi? Naona magunia yameenda singida tu au?
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@majaliwa_kassim Safi kabisa. Vinaja tunamaliza vyuo ajira ni ngumu tukipewa mikopo nafuu tutafanya kilimo cha kisasaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@majaliwa_kassim kwa kukifanya kuwa cha kisasa zaidi, vijana wengi pia tutahamasika kujishughulisha na kilimo na kuachana na ukaaji bureThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@majaliwa_kassim Safi sana PM kasi yako inatia matumaini. Mungu awajaalie afya njema muendelee kulijenga taifa letu la TzThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@majaliwa_kassim tukifanya kilimo chetu kiwe cha kisasa afu tukaweza kufanya jambo kwa agro processing then Gvt ikawezesha marketing partThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@majaliwa_kassim. Ni mpango mzuri sana cha msingi ni kuwa makini na wafujaji wa mali za UMMAThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.