Kigogo 

@kigogo2014

***Fearless whistle blower, Unknown, Secret and Shadow code*** KEEP ATTACKING 🔥✊

Back and forth to the Earth
Vrijeme pridruživanja: travanj 2014.

Tweetovi

Blokirali ste korisnika/cu @kigogo2014

Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @kigogo2014

  1. Prikvačeni tweet
    17. sij
    Odgovor korisniku/ci

    Since Magufuli came into power we are a regular and famous appearance in these reports 😩

    Poništi
  2. Poništi
  3. prije 2 sata

    Kwani kuna shida gani kuwa ana tume huru ya uchaguzi mabona kama CCM wanaogopa sana ? Mnapendwa sana ninyi na mmeshinda 99.99% kwenye LG elections last year why crying? Bila tume huru hakuna uchaguzi yaani hilo kaeni mkijua na ndipo tunapogawana fito yaani. Mmeshatuchezea sana

    Poništi
  4. proslijedio/la je Tweet
    prije 6 sati

    Umuhimu Wa Kufungua Restaurant Sasa Unahitajika 📌 Si Kwa Mahaba Haya 🙏🏿 Mungu Kweli Sio Mchoyo Iwepo Pia Delivery Point Take Away Ifanye 24hrs Brand Itoe Ajira Kwa Vijana Wa Kitanzania 🇹🇿 Inshallah RT 🙏🏿 Tupate Ushauri & Mawazo

    , , i još njih 7
    Poništi
  5. prije 2 sata

    Wenzetu wanatembelewa na wawekezaji wa maana. Sisi tunaendekeza upumbavu wa kuwabana wawekezaji na kujifanya wazalendo. Ila Meko sijui hata tuliktoka wapi na wewe khaaa

    Poništi
  6. prije 3 sata

    Nadhani ni 90 kabisa maana mawaziri na Meko mao wanaingia humo

    Poništi
  7. prije 3 sata

    Meko ameshasema asiguswe! Na hapo ndiyo mwisho wa kila kitu.. Jana nilisema MATAGA wakawa wanadhihaki

    Poništi
  8. prije 4 sata

    Yaani wewe umeona waliojenga majengo Ukonga na Ukuta ndiyo wamefanya kazi ya maana basi waingizwe jeshini! Wakufunzi wamekuonyesha kuwa wao ni wanajeshi na wanasema weka hesabu sawa ni 18 waliokufa, secondly jiulize wamevunjika miguu na mikoni kwa nini? Jeshi limefika hapo sasa

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  9. prije 4 sata

    Meko kama hujasikia salamu za wanajeshi basi hutasikia tena •seniors na juniors toka 2017/18 hawajapanda vyeo baada ya kozi •kuna intake 2 za JKT wako nyumbani hawajaingizwa JWTZ •mshahara hutaki kupandisha Unasema hela hakuna na anayetaka aache jeshi! Hizo ndiyi kauli zako

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  10. proslijedio/la je Tweet

    Kuacha tukio la kuvamia ambalo lilitushitua sana wananchi: RC Paul Makonda ameendelea na matukio tofuti hadi kufikia hatua kusema amefanya matukio ya kudhulumu haki za kuishi kwa wananchi. “GROSS HUMAN RIGHTS VIOLATIONS” Je! Mhe. JPM anayaona haya? 😢

    , , i još njih 6
    Poništi
  11. prije 7 sati

    CDF alitaka iwe siri na waliifanya siri tatizo Meko kuropoka!

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  12. prije 7 sati

    Kwa kuzidiwa na mazoezi magumu ya kijeshi! •Toka lini watu wanaingia JWTZ bila kupimwa afya na utayari wazkuhimili mazoezi na mafunzo!? Nenda kawaone sasa ufurahi!

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  13. prije 7 sati

    Meko has to be stopped na afuate sheria! Meko unahusika na vijana 10waliokufa kwenye mazoezi Msata kwa kuwa husikii •Vijana waliokuwa wanajenga majengo ya magereza Ukonga umelazimisha waingie JWTZ •Umeambiwa wapimwa afya ukakataa ukasema wewe ni Rais umeagiza •haya wamekufa

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  14. proslijedio/la je Tweet

    Nawashukuru sana Watanzania wanaoishi nchini Canada kwa mapokezi yenu mazuri, upendo wenu na ushiriki wenu kwenye mkutano ambao Mimi na ujumbe wangu tulifanya Jijini Toronto. Kwa hakika mshikamano huu utaleta matunda kwa Nchi yetu na diaspora yetu

    Poništi
  15. proslijedio/la je Tweet
    prije 9 sati

    Hatimaye, jana jioni nimepokea barua ya kuitwa kwenye kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti na Nidhamu Jijini Dodoma. Kikao kitafanyika tarehe 6/02/2020 saa 3 Asubuhi kwenye jengo la White House. Nitahudhuria bila kukosa na bila kuchelewa! Stay tuned!

    Poništi
  16. proslijedio/la je Tweet

    Tupo tayari kwa mkutano wetu na Watanzania wanaoishi Marekani. Karibu siku ya Ijumaa tuzungumze kuhusu mustakabali wa Nchi yetu na kuhami demokrasia yetu

    Poništi
  17. proslijedio/la je Tweet
    Poništi
  18. proslijedio/la je Tweet

    If the elections aren’t free and fair, Tanzania will be a one-party state, writes

    Poništi
  19. proslijedio/la je Tweet
    prije 13 sati

    Tanzania MP Zitto Kabwe gets death threats over World Bank loan - BBC News

    Poništi
  20. prije 10 sati

    Kuridhiana nini? Hivi Mbowe bado unaota kuridhiana? Huyu akikufunga kwenye kesi ya Akwilina ndiyo utaelewa kuwa hana muda na wewe! Maana unakuwa mgumu sana kuelewa

    Poništi
  21. proslijedio/la je Tweet
    prije 11 sati

    Nyayo torture victim: Munene.

    Prikaži ovu nit
    Poništi

Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.

Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.

    Možda bi vam se svidjelo i ovo:

    ·