Si ulisema umehamia Dodoma??? Chezea dar ww
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Huyu jamaa yuko very humble,Mungu azidi kumuuinua
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Hongera Mh ...Kwani haupo Dodoma tena
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Tunamuombea sana akutuwakilishe vema,akumbuke kuwa wananchi tunaamini 2025 Tanzania ya viwanda inawezekana.Akashawishi wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta ya viwanda.Tanzania yetu ni nchi ya amani na ukalimu mkubwa.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Iv mbajua maisha yalivomagumu uku mtaani, aki nawasubiri 2020
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mheshimiwa Rais amewataka mabalozi wawe wanatuonyesha Tanzania inanufaika nini na uwepo wao katika nchi mbali mbali.Naamini itakuwa pia umelijadili na Alphayo.Hilo ni muhimu sana.Litabadili taswira ya Mabalozi wetu ili wawe socio,diplomatic, economic development Ambassadors.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Canada ni washirika wetu wazuri sana wa maendeleo na urafiki wetu na wao ni tangu enzi za Hayati BabawaTaifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tukienda nao vizuri tutanufaika sana kama Taifa na wao pia watanufaika.Alphayo ni mchapakazi.Basi apewe ushirikiano.Nchi yetu itanufaika.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Safi kajua Jukumu lake. Tukuze Umoja wetu
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Congratulations
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Huyo bwana aliitendea haki TRA
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.