Nikweli pia iwe chachu ya kuhamasisha wizara ya usafirishaji na watanzania Kwa ujumla kuweza kuzuia ajali Kwa kufuata kanuni na taratibu za usafirishaji
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Kama kuna nililokosea katka comments zangu za hapa nisamehewe na nielekezwe mh ahsant sana kiongoz kaz njema
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Sambamba na hilo napenda sana siasa ili nitoe kampan nyingi zinazohusu maisha ya watanzania so waziri naungana na wewe kwenye jambo lolote la maendeleo ya taifa pia napambana ili tusaidiane kwenye kuwaletea wananchi maendeleo inshallah 2020 nitajitaidi japo niwe Diwan kata yangu
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Napenda kazi zako na juhudi zako unazozifanya mh wazir mkuu pamoja na maono yako ya kufaham kuna siasa na majukumu ya kawaida so mungu akurinde wewe pamoja na mh rais alie pendekeza jina lako adi Leo hii sisi kuona kampan zako za kila siku najua hakuna mkamilifu katika dunia
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Huwa kila siku naamini kupitia juhudi zako na mienendo yako,kwani moyo wako no wenye upendo na hekima na kugubikwa na hekima tele.hongera sana mheshimiwa,hakika sisi tuko nyuma yako,tuko nawe
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Amina,kama kiongozi mkubwa wa serikali kunajitihada gani zinazofanywa na serikali kuzuia ajali za majini?
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mungu akulinde na akupe maisha malefu waziri mkuu@kassim majaliwa
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Ubarikiwe mheshima PM. Mwenyezi MUNGU aendelee kuziweka roho za marehemu hawa mahala pema peponi, amen.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.