KWA NINI? HUWA MNATUFANYIA KUSUDI MKUU WAKATI NDANI YA MOYO WAKO KUNAONEKANA KABISA KUNA NURU NA MOYO WA UTU NA HURUMA?
WW NI BINAADAM ISIPOKUWA MAZINGIRA NDIO YANAKUTESA RAMADHAN NJEMA MKUU SIE MBWA KOKO BADO TUNASUBIRI KUDURA ZA MUUMBA WETU NASI TUISHI KAMA MALAIKA

-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Hapo mwnzo nimekuelewa sas mbona watu waliposema vyuma vimekaza ikaleta shida
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Na badala yake wanalazimishwa wakajenge shule ya upili iliyopo kilometa 8 kutoka kwenye makazi yao,kinachosikitisha zaidi ni mkuu wa wilaya kuzuia ujenzi wa shule ya upili itakayokua karibu na kulazimisha ijengwe ya ya mbali. Mzee fanya uchunguzi kisha wasidie wananchi wanaumia
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Huwa nampa hongera huyu wazir wangu,na mbunge mpendwa sana wa jimbo la ruangwa,nakumbuka nelson Mandela aliwahi kutamka "I was not a messiah,but an ordinary man who had become a leader because of extraordinary circumstances" pongezi kwako honourable
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mh.,huku kwetu kijijini sirorisimba wilaya ya Butiama mkoani Mara wananchi walianza kujenga shule iliopo kilometa 1 tu kutoka kwenye makazi yao,tayari wameshachanga pesa na wameshaweka msingi cha ajabu taarifu ilitoka serikalini kuwazuia wasieendelee na ujenzi huo wa shule ya sec
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Maashaaalah....ahsante sana mheshimiwa umenitoa matongo tongo usoni........ni mtazamo wenye kuleta positive impacts
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Fact muheshimiwa
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Kweli kabisa mheshimiwa ukipata neema kutoka kwa allah basi ni vizuri kushukuru kwani yeye humpa yeyote amtakaye
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Ujumbe mzuri, Shukrani Ijumaa Kareem
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Ujumbe murua kwa watu murua!
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
hon pm kumbe upo vizuri kwenye mistari hahaha
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Umeongea vyema mwalim
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Nimekuelewa mh waziri mkuu kwa maneno mazuri na yenye hekima Ramadhan Kareem
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mkuu umenena
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
bonge la point mh
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Nimekuelewa mkuu lkn....
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Sawa mhe.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.