naomba wizara ya kilimo iangalie na kufanya utaratibu wa kupata soko la mahindi huku nyanda za juu kusini (Songea), mahindi yanatuozea na gharama za kilimo zipo, serikali iangalie jinsi ya kulitatua hili, nawasilisha
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Afadhali mzembe kuliko asiye na nidhamu, anaumiza sana
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Nikweli mheshimiwa.....piga kazi wanaruangwa tumekuamini na tumekubariki na tunaomba mungu akulinde by matangula
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Baba kwani viongozi waliopo ndo wanajua tuu uwongozi mbona bongo kunawatu wanauwezo wako mtaani na wanauzalendo na nchi yao? Mana nackia tuu bungeni bajeti ya kilimo Hali ya kuwa waliopanga mnawajua au
@zittokabwe na@Nnauye_Nape wanalosema halina ukweli. SorryThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mhe. shida kubwa tuliyo nayo kama nchi kila ushauri unaotolewa unatumika kama mtaji wa kisiasa.. Kila siku Mhe. Raisi anasema maendeleo hayana siasa, lakini mawazo yakitolewa yanaitwa kebehi.. sasa tutafikaje.. watu wanaogopa kusema
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Tuanza na ile 1.5 t ya
#CAGThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mungu akubariki waziri wetu Mungu awe pamoja na wewe
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Ila kwasasa full kulindana Mkuu mmetupiga mzinga wa
#onepointfivetrii

Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Vizir Mzee majaliwa
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
"....Viongozi wazembe na wabadhirifu wahesabu siku zao. Labda tusiwajue...." Nukuu hii inaendelea kuishi nasi. Bali kwa karne hii ya 21 na ICT, maneno "labda tusiwajue" ilikuwa 1983 lkn kwa sasa, wazembe na wabadhirifu wanafahamika. Kila kiongozi anahitaji UTHUBUTU wa KUTOWALINDA
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mzee baba mazao yanatuozea hatuna pakuyapeleka
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Sawa sawa kabisa kazi kazi
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Wazembe wote tupa chini mambo ya siasa tumechoka tunataka maendeleo, kauli mbiu hapa kazi tu, wake mtaani wapambane na hali zao naona viti virefu vimewashinda
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Noted
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Ni kweli wezi, wavivu na wazembe hawatufai kwenye taifa letu,wawajibishwe tu.Tunataka nchi yetu isonge mbele.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Litazameni Kwa kina swala LA kilimo mkuu
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.