Mkuu kwann hiyo kauli usingeitoa kitambo Kwa watanzania wote kiujumla kwamba nawaakikishia sukari haito panda bei mpaka utegee mfungo? Tunaombeni mtuangalie wananchi wenu tunateseka muheshimiwa #ChangeTanzania
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Can we make Ramadhani go for 365 days?

Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Sawa mzee mafuta ya kula je? Hiyo ni bidhaa muhimu pia!
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Miaka 55+ ya uhuru na ccm madarakani prime minister anazungumzia sukari haitakosekana at least kwa 1 month guaranteed. Halafu mtu bado anasubiri some kind of development from this fools
- 1 more reply
New conversation -
-
-
Kununua nimenunua mwenyewe bei unipangie ww::;;;; hi gava inasingua
#ChangeTanzaniaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Allah akuwezeshe ktk kuwatendea haki wananchi wako Inshaallah
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
kwa hiyo kwa nyakati nyingine ikipanda ni sawa, hamna neno mzee
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Suala na sukari kupatikana na bei kuwa rafiki kwa wananchi wa kawaida lisiwe la kipindi cha Ramadhan peke yake..tafuteni suluhisho la kudumu mheshimiwa..
@kassim_majaliwaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Kupatikana sawa, bei je? kuna mkakati gani wa kuidhibiti?
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mweshimiwa waziri mkuu tunashukuru ila chai, uji ni jambo la kilasiku wala si tu nyakati za mfungo. Pengine mtafute suluhisho la kudumu.
- 3 more replies
New conversation -
-
-
Mzee hv unajua kuwa kuanzia mafuta,nyanya,kitunguu,karoti,mchele,sukari,chunvi,vitunguu swaumu,masala,limao,chunvi,parachichi,nk vyote vimepanda bei??laiti kama ungekuwa unapita sokoni ndo ungeelewa situation tulio nayo raia ila kisa kuna ku tweet mna tweet tu ushubwada mtupu
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Hata mwaka Jana mlitwambia hayo hayo
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mkuu na swala la tende liangalieni vizuri,inapunja sana
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Washii8
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-

napita tyuuuuuThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.