Hii ni atua nzuri ktk kuimarisha mahusiano mema na taifa hilo.
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Haitusaidii kitu sisi,kama uchaguzi tu mnashindwa kufanya kwa haki mambo ya viza za watumishi ya nini?! Tatizo la nchi yetu ni viongozi kushindwa kufanya ya msingi,mnaangaika na bustani ya nje ya nyumba wakati choo ndani kichafu
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Hivi ujenzi wa Daraja la kutoka Aga khan hospital mpaka Coco Beach liliishia wapi?Maana wafadhili ndio hao na hakuna feedback.Mwenye kujua limefikia wapi,atujuze.
- End of conversation
New conversation -
-
-
Mh
@kassim_majaliwa Mungu awatangulie katika mazungumzo Yenu yakawe ya AmaniThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Hongera Sana sana, jitihada zako Kama mzalendo Wa nchii hii zinaonekana. Tunakuombea mema 2025 uendeleue gurudumu.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Safi mzee kuza mahusiano. Tanzania mpya inawezekana
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
That's will be a great achievement for business perspective and international relation, we hope to get great results from the discussion. Be blessed our PM for the great job you are done for our Nation.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
WEWE UKO VIZURI, ENDELEA KUCHAPA KAZI HIVYO HIVYO HUKU UKICHUKUA SEMINA KUTOKA KWA JEMEDARI WETU MKUU! LENGO LETU NI NOV. 05, 2025, SAA 10:59:59 ASUBUHI, KATI YAKO WEWE MH. MAJAALIWA K. MAJAALIWA AU MAMA SAMIA S. HASANI MMOJAWAPO ACHUKUE HATAMU KUTOKA KWA MH. RAIS DK. JPJM! VEMA!pic.twitter.com/r00oWfCzo0
-
Haya mzee shabani mungu anakuona
End of conversation
New conversation -
-
-
Safi sana mh. Kazi nzuri
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
na kwingine je fanya tusihitaji viza za raia wa kawaida zile nchi tunazo uhusiano kibiashara..au apo vipi wataalamu..
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mmepandishia watu gharama za upatikanaji wa Hati za Kusafiria, then hata mkitoa hizo mambo za viza mnatusaidia nini!?
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mwanzo mzuri Mh. Ningependekeza kwenye mikutano ya namna hii ingeweka kipaumbele sana kwa maendeleo ya kielimu. Watanzania wanahitaji exposure sana kwenye elimu kuliko kitu kingine.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Kazi nzuri Mh. Majaliwa
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Waziri mkuu!! Safi sana M/mungu akuongoze kiongozi wetu
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Kila la kheri ktk mazungumzo yenu Mh Kassim
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.