Nafikiri kuna haja ya kufanya reform kwenye kiwanda hiki, Binafsi sijui ni bidhaa gani zinatoka hapa zaidi ya kanga. Urafiki ikiwezeshwa ama kutatuliwa changamoto wanazozikabili, itafika mbali na siajabu itatutangaza vizuri kimataifa. Washikwe Mkono!!!
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
MH. Hivi hicho kiwanda hakiwezi kupata mwekezaji mzuri kikarudisha ubora wake wa zamani,hakika Mimi huwa nikiangalia hali ya kiwanda hicho ilivyo huwa naumia sana. Hebu kitupieni jicho kiwanda hicho muhimu,hakika kinaweza kurudi ktk ubora na kikafanya vizuri.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Nikupongeze Mh. Waziri mkuu, Mh. Rais wa wetu, kwa jitihada hizi za kuijenga Tanzania mpya, tuko pamoja nanyi
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Kheri Mzee na nguo zishuke bei watoto wetu majumbani hawatuokei kwa mahitajio ya sikukuu
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mheshimiwa na kupongeza sana kwa ufanisi wa kazi zako haswa haswa unavo tupambania wakulima. Hivi kiwanda cha urafiki kinapata wapi mali ghafi zao za kukuindesha? Maana kama ni pamba, mbona wakulima bei za pamba zinazidi kuzorota? Tunahitaji soko la ndani lenye uwakika Mkuu
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya mkuu hakika unastahiri pongezi
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Safi sana mkuu
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Safi Mheshimiwa kwa Kazi hata siku ya weekend unapiga kazi hongera
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Ni moja ya viwanda vichafu kuna watu wa nafanya biashara za hovyo kiwanda kimesinyaa. Asante na Hongera sana Waziri mkuu wetu mpendwa
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
hongera sana, usimamizi makini ni jambo la maana ili miradi ya kitaifa ijiendeshe vizuri
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.