Hongera xanaaaa Mh,wazirii mkuu na 2030 ,ukabidhiwe kijitii ilii kuliongeza taifaaa hilii ,kiukweli uko vzuriii xanaaaa Mhexhimiwa Wazirii mkuu:;
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Hongera mkuu kujitowa ni moyo ubarikiwe sana acha tu tuvumilie ili kizazi kitakacho kuja kitaishi kwa raha chapa kazi usiskilize watasema nn mwanadam achoki kusema songa mbele hapa kaz tu kusema n kutaka mkuu nakuombea Mungu akupiganie uschoke ipo sku baraka za Mungu zipo
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
ila mwenzio anataka kukuachia zigo akikuacha weye ukiwa waingia..
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Ruangwa kwa maendeleo inawezekana hongera mheshimiwa kwa kutia hamasa na moyo wa uzalendo kwa watanzania jukukumu la kujenga nchi yetu ni letu sote.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Hongera kwa kuwaunga mkono wananchi
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Hakika haya kutoka moyoni mwangu,"hakika nakujua vyema ndugu waziri mkuu tangu ukiwa mbunge wa kawaida hadi Leo ulipofikia,naamini weledi wako wa kaZ ,kujituma na kujitoa kwa ajili ya wanaruangwa ndio chanzo cha haya yote,hongera honourable, hongera Mzee,mungu akuongoze,amiiin
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Kazi nzuri sana mh.Japo una majukumu mengi sana ya serikali lakini ujawasahau wapiga kura wako wa jimbo lako hongera sana.
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.