LHRCOvjeren akaunt

@humanrightstz

Tanzania's leading human rights advocacy organization. Providing Legal Aid to the marginalized and conduct strategic litigation.

Kijitonyama, Dar es Salaam
Vrijeme pridruživanja: rujan 2010.

Tweetovi

Blokirali ste korisnika/cu @humanrightstz

Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @humanrightstz

  1. Prikvačeni tweet
    7. sij

    Tito and Theodory to Remain Behind Bars Pending Investigation of their Economic Crime Charges

    Poništi
  2. proslijedio/la je Tweet

    Mahakama ya Kikatiba ya Malawi leo Februari 3, 2020 imefuta matokeo ya uchaguzi wa Raisi, Peter Mutharika Mei 21, 2019 kwa kile ilichoeleza kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na kuamuru urudiwe ndani ya siku 150

    Poništi
  3. proslijedio/la je Tweet
    Poništi
  4. Poništi
  5. proslijedio/la je Tweet

    tumeshiriki katika utuoaji wa elimu pamoja na msaada wakisheria kwa wananchi katika mikoa mbalimbali. imeandaliwa na na sisi kama wadau wakubwa tunahakikisha wananchi wanapata huduma ya sheria kikamilifu.

    Poništi
  6. proslijedio/la je Tweet
    prije 14 sati

    “Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko Lindi imesalia Watu 21, tumewaokoa wale 500 ambao walikwama na kuwaweka sehemu salama,tunaomba mbegu za muda mfupi ili Wananchi wapate chakula badala ya kutegemea misaada siku zote"-Christopher Ngubiagai,DC Kilwa

    Poništi
  7. proslijedio/la je Tweet

    The Inspector General of Police (IGP), Simon Sirro, yesterday directed regional and district security committees across the country to look into how church organisations handle large crowd events as a way of avoiding tragic developments.

    Poništi
  8. proslijedio/la je Tweet

    Kwa ndugu zetu wa Kilwa, Lindi. 🙏🏿

    Poništi
  9. proslijedio/la je Tweet
    prije 12 sati
    Poništi
  10. proslijedio/la je Tweet

    A new bilateral strategy for the Swedish-Tanzanian development cooperation has been approved. Stay tuned- we will share the press release with you shortly!

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  11. 2. velj

    Salamu za Rambirambi kwa Wakazi wa Moshi na Watanzania kwa Ujumla

    Poništi
  12. proslijedio/la je Tweet
    2. velj

    Polisi mkoani Kilimanjaro inawashikilia watu saba akiwamo mchungaji wa Kanisa la Calvary Assemblies of God kwa mahojiano kufuatia vifo vya watu 20 vilivyotokea mjini Moshi jana usiku Februari Mosi. RPC Kilimanjaro, Salum Hamduni ameeleza

    Poništi
  13. proslijedio/la je Tweet
    2. velj

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Jeshi la Polisi linamshikilia Mtume na Nabii Boniface Mwamposa baada ya kutoroka mjini Moshi kufuatia vifo vya watu 20 ambao walikuwa wanakanyaga mafuta ya upako mahala alipokuwa akihubiri.

    Poništi
  14. proslijedio/la je Tweet
    2. velj

    Tanzania mourns as 40 killed in church stampede, floods

    Poništi
  15. proslijedio/la je Tweet
    2. velj

    BONIFACE MWAMPOSA ATIWA MBARONI > Jeshi la Polisi jijini Dar limemtia mbaroni Mwamposa (almaarufu Bulldozer) kufuatia vifo vya watu 20 na majeruhi 16 huko Moshi, Kilimanjaro > Mwamposa aliwaaga waumini wake mchana huu kuwa anaenda Moshi kuitikia wito wa Polisi

    Poništi
  16. proslijedio/la je Tweet
    2. velj

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema Nabii na Mtume, Boniface Mwamposa amekamatwa na jeshi la polisi Dar es Salaam

    Poništi
  17. 1. velj

    Ufafanuzi juu ya Maoni ya Wadau kuhusu Ujumbe Unaomuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika banda la Msaada wa Kisheria la LHRC.

    Poništi
  18. proslijedio/la je Tweet
    1. velj

    Dodoma mpo? Karibuni katika banda letu ndani ya viwanja vya Nyerere Square kupata huduma ya Msaada wa Sheria.

    Poništi
  19. proslijedio/la je Tweet
    1. velj

    Hakuna jambo zuri na rahisi kama kusimamia haki. Haki huleta amani, upendo, mshikamano, furaha na mafanikio.

    Poništi
  20. proslijedio/la je Tweet
    1. velj

    Makonda apigwa 'stop' kuingia Marekani>

    Poništi
  21. 1. velj

    Zuio la mikutano latinga 2020 likionyesha taswira halisi ya utendaji wa Jeshi la Polisi - Mwananchi

    Poništi

Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.

Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.

    Možda bi vam se svidjelo i ovo:

    ·