Humphrey Polepole

@hpolepole

A concerned Citizen of the United Republic of Tanzania | Believes in People centred Constitution | Member of CCM NEC&CC | CCM Ideology & Publicity Secretary

Vrijeme pridruživanja: siječanj 2011.

Tweetovi

Blokirali ste korisnika/cu @hpolepole

Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @hpolepole

  1. Prikvačeni tweet
    31. pro 2019.

    inakaribisha maoni ya wananchi tunapoandika Mwelekeo wa Sera za CCM 2020-2030 na Ilani ya Uchaguzi 2020-2025. Mwisho wa kupokea maoni ni 25 Januari 2019. Heri ya Mwaka Mpya 2020 na Mungu awabariki

    Poništi
  2. prije 21 sat

    Leo kimezaliwa Chama kikubwa No. 1, Afrika na Duniani No. 2 Miaka 43 ya CCM, Tumeahidi, Tumetekeleza na Tunaahidi tena Kuchapa Kazi kwa Juhudi, Ubunifu na Maarifa Zaidi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi (CCM). Heri ya ya kuzaliwa CCM

    Poništi
  3. 27. sij

    Mojawapo ya vyanzo vya Bajeti katika nchi yoyote ni pamoja na 1. Mapato ya ndani 2. Maduhuli 3. Mikopo na 4. Misaada (hapa kwetu tunaamua aina ya mikopo, misaada na masharti yake yasiyo tweza uhuru wetu). Nani alikwambia ukijitegemea haukopi?

    Poništi
  4. 27. sij

    Kumbe tatizo ni Uchaguzi 2020. Kabwe anaomba tunyimwe mkopo wa kuongeza umadhubuti wa elimu ya watoto wetu kwasababu anajua ni jukumu letu kujenga shule na sifa zitakuja CCM, inayokwama si CCM, ni watoto wa Kigoma Ujiji. Kushinda tutashinda tu! Najiuliza watoto wake wanasomawapi?

    Poništi
  5. 24. sij

    Kesho darasa linaendelea 🔥🔥 Usikose!

    Poništi
  6. proslijedio/la je Tweet

    “Ni vizuri wapinzani wetu wakaelewa kuwa Chama Cha Mapinduzi hatulali, siku hizi tunaingia kwa awamu, wapo wanaoingia mchana na wapo wanaoingia usiku kuhakikisha chama chetu kinapiga hatua na utekelezaji wa Ilani unakwenda vizuri”. Ndg , Ubungo - Dar.

    Poništi
  7. 18. sij
    Poništi
  8. 17. sij

    Sema wewe ndugu yangu, Serikali ya itaendelea kuleta Maendeleo kwa watanzania wote na tukiamini Maendeleo hayana Chama!

    Poništi
  9. 15. sij
    Poništi
  10. 11. sij

    Sikukuu Njema za Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

    Poništi
  11. proslijedio/la je Tweet
    4. sij

    "Nimefanya kazi na marais wote,mwalimu Nyerere miaka 18,akaja mzee mwinyi miaka 10,mzee Mkapa miaka 10,akaja mzee Kikwete miaka 5 na miezi 6,amekuja Rais Magufuli nina miaka 2 kama na nusu hivi lakini shughuli yake pevu"Philip Mangula makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara.

    Poništi
  12. 7. sij

    Tumepokea changamoto ya usafiri, Kilwa na Kisiwa cha Mafia. Chama kimeshaelekeza Serikali kutoa usafiri maalum ili kuondoa kadhia hiyo kutoka Jeshi la Wananchi (JWTZ). Tutaendelea kushughulika na utatuzi wa kero za watu ndani ya muda mfupi, mipango ya muda wa kati na muda mrefu.

    Poništi
  13. 24. pro 2019.
    Poništi
  14. proslijedio/la je Tweet
    19. pro 2019.

    Mwonekano wa kituo cha Afya cha Muriet ambacho kinahudumia wakazi 150 kwa siku wa kata za Olasiti, Muriet,sokoni1,sombetini,Osunyai, na Terrat,Ambacho wakinamama wajawazito 1180 wanaotarajia kujifungua mwakani wamejiandikisha, Ujenzi wa kituo hiki ni 1.5 Bil"

    , , i još njih 7
    Poništi
  15. proslijedio/la je Tweet

    Mheshimiwa Rais nauza Album yangu hii ya KISIMANI kwa 12,000/- tu. Naomba unisaidie kuitangaza japo hata kwa ku retweet nipate wateja. Kwa heshima wewe utapata nakala ya Bure, unless Mh awe alikupa tayari maana alinunua CD kama 20. 🙌🏾

    Poništi
  16. 13. pro 2019.
    Poništi
  17. 11. pro 2019.

    Leo inafanyika Semina ya Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa (HKT) ya CCM, Lengo la Semina ni kuwazatiti wajumbe na Maarifa yahusuyo mbinu, mikakati na mipango ya kuendelea kuwaletea watanzania Maendeleo. Semina itafunguliwa na Komredi John Magufuli, Mwkt wa Chama na Rais wa Nchi.

    Poništi
  18. 9. pro 2019.
    Poništi
  19. 8. pro 2019.

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake Cpt. Mst. Jaka Mwambi. Uongozi wa Chama na wanachama unatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa. Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe, Amina.

    Poništi
  20. 8. pro 2019.

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha kada wake Ndg. Ali Mufuruki, Mjasiriamali mzawa na Kiongozi wa Sekta binafsi nchini. Tunatoa salamu za pole kwa familia, ndugu na jamaa. إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ

    Poništi
  21. 6. pro 2019.

    Nimejiandikisha Makao Makuu ya Nchi, Jijini Dodoma ambako mimi ni Mkaazi. Kwa kazi hii nzuri, Kajiandikishe, Wiki ya uandikishaji Dodoma

    Poništi

Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.

Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.

    Možda bi vam se svidjelo i ovo:

    ·