Tweetovi
- Tweetovi, trenutna stranica.
- Tweetovi i odgovori
- Medijski sadržaj
Blokirali ste korisnika/cu @ccm_tanzania
Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @ccm_tanzania
-
Chama Cha Mapinduzi proslijedio/la je Tweet
Nawapongeza wanachama na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa chama chetu kutimiza miaka 43 tangu kuzaliwa. Tunaposherehekea siku hii muhimu kwa kazi tuendeleze misingi ya chama chetu, tusimamie utekelezaji wa Ilani na tudumishe amani, upendo na mshikamano. CCM HOYEE!
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Chama Cha Mapinduzi proslijedio/la je Tweet
Leo kimezaliwa Chama kikubwa No. 1, Afrika na Duniani No. 2
@ccm_tanzania Miaka 43 ya CCM, Tumeahidi, Tumetekeleza na Tunaahidi tena Kuchapa Kazi kwa Juhudi, Ubunifu na Maarifa Zaidi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi (CCM). Heri ya ya kuzaliwa CCMpic.twitter.com/8HwX82s2G5
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Tunaimarisha Itikadi katika mioyo ya Vijana wetu. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu
@hpolepole atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Vijana Mkoa wa Kilimanjaro. Tarehe 06/2/2020 katika ukumbi wa Shauri Tanga Wilayani Rombo.#HapaKaziTupic.twitter.com/iEy0hEuhqy
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Chama Cha Mapinduzi proslijedio/la je Tweet
KATIBU MKUU wa CCM, Dk. Bashiru amesisitiza sherehe za Miaka 43 ya CCM kusherehekewa kwa kusimamia misingi ya chama na kujiandaa kusheherekea miaka 50 ya CCM mwaka 2027, kikiwa madhubuti kimuundo na kiuongozi.
#UhuruFm#GazetiLaUhuru#Chanel10pic.twitter.com/m5jQFXGEEl
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Chama Cha Mapinduzi proslijedio/la je Tweet
KATIBU MKUU wa CCM, Dk. Bashiru Ali amesema hakutakuwa na sherehe za kitaifa kwenye eneo moja wakati CCM ikiadhimisha miaka 43 ya kuzaliwa, kila ngazi ya uongozi itasherehekea kwa kuzindua miradi, kufafanua kwa umma kazi zinazofanywa na serikali pamoja na mafanikio ya chama.pic.twitter.com/xqOLZjjnkh
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 43 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally ameweka bayana kuwa, CCM ndio Chama pekee Afrika chenye kufuata Demokrasia ya Kweli.pic.twitter.com/TNYZIXE7hw
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 43 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Katibu Mkuu Ndg. Bashiru Ally ameeleza kwa undani siri ya CCM kuendelea kukubalika kwa umma. Fuatilia katika video zitakazokuwa zikiwajia kuanzia sasa mpaka tarehe 05 Februari, 2020. Sehemu ya 1.pic.twitter.com/IwqfemUkfR
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg
@hpolepole amepokea wanachama wapya 245, amewakabidhi kadi na kuwapitisha wanachama hao katika kiapo cha uanachama wa CCM walichokitoa mbele ya wanaCCM waliohudhuria darasa la Itikadi lililoandaliwa na UVCCM IFM, Karimjee.pic.twitter.com/IAOOxNxso1
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
“Mtu anadanganya umma kuwa vyuo vya maendeleo ya Jamii ni vya Chama, kila mtu anajua Vyuo hivi vipo chini ya Wizara ya Elimu, CCM tulivitoa vyuo vyetu kwa Serikali bure, Kivukoni Chuo cha Mwalimu Nyerere, Tanga Kule Chuo cha Mahakimu tulikitoa bure na vingine vingi”
@hpolepolepic.twitter.com/JLNax240hO
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
“Sisi tunafanya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu, hao wanasema tunafanya maendeleo ya vitu, hawa hawaelewi na hatuna uelewa wa pamoja na wao”. Ndg.
@hpolepolepic.twitter.com/6YM1CXqdxo
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
"Kwenye Chama chetu tunahitaji Viongozi watumishi na Kiongozi anaanza kwanza kuwa mtumishi na Ndugu Magufuli ni Mtumishi kwanza. Wapo Viongozi hawaongei na watu ofisini, wanaonana na watu kwenye matukio tu zinapigwa picha basi, tunataka Kiongozi wa kiutumishi”. Ndg
@hpolepolepic.twitter.com/p0sDWEBD29
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
“Tunachapa kazi kwa bidii ili tuendelee kupata ukubalifu wa umma, tuweze kuleta maendeleo na kubadilisha maisha ya watu katika kila nyanja ya maisha yao” “Wale mtakaomaliza Chuo, nawahimiza njooni na mawazo mapya mazuri, sisi Chama tutawasaidia ufanikiwe kwa faida ya nchi yetu”pic.twitter.com/M9p0PqE9Pm
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Miradi ya Kimkakati; Ujenzi wa ghala la kuhifadhia Korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa. Tuliahidi, tumetekeleza na tunasonga mbele.
#TunaijengaTanzania#TukutaneOktoba#KaziInaendeleapic.twitter.com/HWPoIWShuj
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Tumeboresha sekta ya Afya. Tumekamilisha kujenga na kukarabati hospitali za Wilaya 92. Pichani; Ujenzi wa Hospitali ya Mji wa Tunduma ukiwa unaendelea. Tuliahidi, tumetimiza na tunasonga mbele. Hii ni
#CCMmpya#TukutaneOktoba#KaziInaendeleapic.twitter.com/k6wcMuTH19
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Ujenzi wa Soko la Kisutu Manispaa ya Ilala Mkoani Dar es salaam.
#MiradiyaKimkakati Hii ni#CCMmpya#TukutaneOktoba2020pic.twitter.com/Zu6GKU0fjV
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Mpango wa kukarabati Shule kongwe za Serikali. Tunaboresha elimu yetu. Tukiahidi tunatekeleza.
#TukutaneOktoba2020#KaziInaendeleapic.twitter.com/qhYAnLgphw
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Ujenzi wa Soko la Kimataifa Kijiji cha Kakonzi Halmashauri ya Mji wa Tunduma.
#MiradiyaKimkakati Hii ni#CCMmpya#TukutaneOktoba2020pic.twitter.com/lFL9q5d4Wj
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Jumuiya ya Walemavu wakiongozwa na Ndg Peter Sarungi wameishukuru na kuipongeza CCM na Serikali yake inayoongozwa na Ndg
@MagufuliJP Mwenyekiti wa CCM na Rais kwa kuwajali na kuweka sera rafiki na wezeshi kiuchumi, kijamii na kisiasa. Pamoja na kuwazingatia ktk nafasi za uongozi.pic.twitter.com/TQeSTVoPhZ
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Katibu Mkuu Ndg. Bashiru Ally, amepokea mapendekezo ya Ilani ya CCM 2020 - 2025 kutoka kwa Jumuiya ya Walemavu nchini yenye wajumbe ambao ni wananchi wote wenye ulemavu kutoka kanda tisa nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika jana tarehe 30/1/2020 Makao Makuu ya CCM, Dodoma.pic.twitter.com/wYE5IkjPKS
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi -
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mlezi wa Mkoa wa Dar es salaam na Pwani na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg
@SuluhuSamia ashiriki kikao cha Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es salaam kilichokutana Jana tarehe 30 Jan 2020.pic.twitter.com/A9k75uqD8T
Hvala. Twitter će to iskoristiti za poboljšanje vaše vremenske crte. PoništiPoništi
Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.
Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.