Ndugu Mteja,
Namba yako ya SIRI ya M-Pesa ni siri yako. Usimshirikishe wala kumpatia mtu yeyote hata kama ni wakala wa M-Pesa.
#NiRahisiTu
Vodacom Tanzania
@VodacomTanzania
Teknolojia ni watu na watu ni teknolojia. Kwa kutumia teknolojia, kwa pamoja tunaweza kufanya lolote. #PamojaTunaweza
Vodacom Tanzania’s posts
Je, unajua ni rahisi tu kudhibiti matumizi ya data kwenye simu yako. Tizama video kujua zaidi. #NiRahisiTu #PamojaTunaweza
Kupitia menyu yetu ya IVR unaweza kutatua tatizo lako mwenyewe kwa kufuata maelekezo ya huduma kama muamala uliokosea, kuomba tokeni ya luku iliyofutika na vocha iliyokwanguliwa vibaya. Pia unaweza kuongea na mtoa huduma inapobidi. Huduma hii ni masaa 24.
#NiRahisiTu
Usiwaze kuhusu maisha yatakwenda vipi wakati umelazwa. Ukiwa na Bima ya kulazwa, utapatiwa TZS 40,000 kwa siku kufidia muda uliokuwa umelazwa.
Piga *150*00# >huduma za kifedha > Vodabima.Pia unaweza kuswipe left ili uweze kufahamu jinsi ya kujiunga.
#LindaAfyaNaVodabima
Sio siri tena, Songesha ndio suluhisho la miamala yako iliyokwama,hata ukiwa na salio pungufu la M-Pesa,sasa unaweza kumalizia muamala wako.
Kweli Pesa ni M-pesa.
Piga*150*00#>chagua Huduma za Kifedha>kisha chagua Songesha kujiunga
#SongeshanaMpesa #UsikwameSongesha #PesaniMpesa
Unaweza kuchangia ukiwa popote, jiunge na M-KOBA leo utembee na kikundi chako. Piga *150*00#, chagua Huduma za Kifedha, Chagua M-KOBA.
Je, unajua sasa unaweza kudhibiti matumizi ya data ukiwa YouTube. Tizama video kujua Zaidi. #PamojaTunaweza #NiRahisiTu
Ni Rahisi Tu kupata tena tokeni zako za luku ikiwa zimefutika, kiulaini kabisa ukiwa na mtandao wako wa Vodacom. Piga *150*00# >Lipa kwa M-pesa >LUKU > Pata tena tokeni ya LUKU >Ingiza namba yako ya mita.
#Pamojatunaweza#NiRahisiTu
Vodacom tumezindua campaign mpya ya #MPESAIMEITIKA ambapo sasa kila unapotumia M-Pesa kwa TOZO ZILIZOPUNGUZWA unapata nafasi ya kujishindia zawadi kibao kama bajaji,bodaboda, Wese Full tenki na MJENGo MPYA wenye fanicha zote.
Tumia M-Pesa app au Piga *150*00#.
Je, unajua unaweza kudhibiti matumizi ya data kwenye aplikesheni ya Instagram? Tizama video kujua jinsi ya kudhibiti . #PamojaTunaweza #NiRahisiTu
Jishindie MJENGO MPYA wa maana wenye fanicha zote kutoka
@gsmhometz kiulaini kabisa.
Unachotakiwa kufanya ni kukamilisha miamala mbali mbali.
Tumia M-Pesa app au Piga *150*00# kufanya muamala wowote wa
M-Pesa uingie kwenye droo za ushindi kila wiki.
#MpesaImeitika
#PesaniMpesa
Endeleza miamala mbali mbali na M-Pesa ushinde bajaji, wese full tenki,boda boda na MJENGO WA MAANA wenye fanicha zote kutoka @gsmhometz
Tumia M-Pesa app Piga *150*00# kufanya muamala wowote wa M-Pesa uingie kwenye droo za ushindi kila wiki.
#MpesaImeitika #PesaniMpesa
Kipanya tangu ajiunge na #RedRLX katuliia hana zogo. Maisha ni murua ukiwa na kifurushi kinachojirudia kinapofikia ukomo, piga *149*01#
Leo tunajivunia kuzindua Vodacom 5G na kuiweka nchi yetu pendwa ya Tanzania kwenye ramani ya ulimwengu wa kidijitali!! #Voda5G #YaKwanzaTanzania #kaziiendelee
M-Pesa inakuleta karibu na wateja wako waliopo nchi za mashariki na kusini mwa Afrika kwani sasa miamala inakamilishwa kirahisi kupitia M-Pesa na washirika wetu wa nchi mbalimbali za Afrika.
Njaanuari hii isikupe wasiwasi, Sasa viwango vya Songesha vimeongezwa kukuwezesha kusongesha miamala mikubwa zaidi unapokuwa na salio pungufu.
Piga *150*00# > Chagua huduma za kifedha > kisha chagua songesha kujiunga.
#SongeshaKubwaZaidi
#SongeshaNaMpesa
#KweliPesaniMpesa
Sababu za kujiunga mtandao supa ni nyingi sana kama kasi ya internet ya 5G, Vifurushi nafuu nk lakini sasa kubwa zaidi ni urahisi wa kufanya miamala ya fedha kidigitali bila kuwaza tozo. Ndio HAKUNA TOZO TENA.
Furahia miamala mingi zaidi kidigitali kwa Tozo Sifuri.
Tozo zimepunguzwa na M-Pesa Imeitika!
Fanya miamala zaidi ya M-Pesa ujiongezee nafasi ya kushinda Bajaj, Bodaboda, Wese Full Tenki kila Wiki na MJENGO MPYAA uliowekwa fenicha kalii kutoka @gsmhometz
Tumia M-Pesa App au Piga *150*00#
#PesaniMpesa #MpesaImeitika
Mitanange yote ya kombe la dunia sasa unaweza kuicheki LIVE kiganjani mwako kupitia MyDstv App ndani ya App yako ya M-Pesa!!!
Pakua M-Pesa app kupitia Google playstore au App Store
#ZaidiYaMtandao #Mpesasuperapp
Usiumize kichwa, ukitaka kucheki salio la M-pesa ni rahisi, Piga *150*00# > Akaunti yangu (jihudumie) > Salio
#Pamojatunaweza#NiRahisiTu
Floti haitoshi kusoti wateja wengi? Vuta mkopo chap na wakala songesha ukamilishe miamala yako.
Piga* 150 *00 # >wakalasongesha
#Maishayanaendanampesa #Zaidiyamtandao
Relax na bando linalokupa kila kitu unachokihitaji! Furahia dakika, GB na SMS za kutosha ukijiunga na Red Relax kutoka mtandao supa pekee. #RedRelax #ZaidiYaMtandao #PamojaTunaweza
Tunaivuta Qatar kiganjani mwako.Cheki mechi zote live kupitia My Dstv app ndani ya M-Pesa App.
Pakua M-Pesa App kupitia Google Play store au App Store.
#MpesaSuperApp #ZaidiYaMtandao
Tumia Scrabble kutengeneza neno linalohusiana na huduma au bidhaa za Vodacom. Unapojibu tumia #VodacomScrabble.
Ameishiwa fedha za Masomo kama Ada na Pocket money?Mtumie kiurahisi kupitia M-Pesa kwenye ufahari wa kiganja chako huku ukijipatia dakika za bure za kumpigia kufahamu kama amepokea muamala.
Tumia M-Pesa App au Piga *150*00>Tuma Pesa > Tuma Pesa Kimataifa
#ConnectingAfrica
Kuwa Supa unapotumia mtandao supa pekee ulioenea zaidi nchini Tanzania. Piga *149*01# sasa.
#MtandaoSupa wa Vodacom unakuza biashara yako kwa kukuunganisha na wateja wako kwa urahisi na uhakika. Jiunge sasa kwa kupiga *149*01# na ufurahie Intaneti yenye kasi zaidi nchini.
Malipo ya ada za shule ndani ya Afrika Mashariki yanafanyika papo hapo na M-Pesa. Tuma pesa kwenda benki zaidi ya 60 za nchini KENYA, UGANDA, RWANDA na BURUNDI kwa urahisi kupitia M-Pesa. Piga *150*00# > Tuma Pesa > Tuma pesa kimataifa. #duniakijijinampesa #afrikamasharikiniyako
Jifunze kuhusu huduma na bidhaa kutoka Vodacom bila kutumia bando.
Tembelea tovuti yetu vodacom.co.tz > Chagua Elimika na 𝗩𝗼𝗱𝗮𝘁𝘂𝗯𝗲. #NiRahisiTu #ZaidiYaMtandao
Tunafahamu mahitaji yako na ndiyo maana tunakupatia uhuru wa mawasiliano kupitia chaguo la bando mahususi linaloendanana na matumizi yako la Ya kwako Tu. #ZaidiYaMtandao
Tag mshkaji au bestie unayependa kubonga naye ukiwa na kifurushi cha Ya Kwako Tu. #PamojaTunaweza
Ni Rahisi Tu! Je una swali lolote juu ya huduma zetu au unahitaji msaada wa haraka? Karibu tukuhudumie kupitia WhatsApp. #ZaidiYaMtandao
Jivunie uwezo wa kucheki Mechi laivu mtandaoni muda wowote na mahali popote bila kukwama ukiwa kwenye mtandao Supa pekee Tanzania #Mtandaosupa
Hakuna kukwama, Vuta mkopo chap na M-Pawa uendeleze mishe.
Tumia M-Pesa App au Piga *150*00# >MikoponaAkiba>M-Pawa
#Maishayanaendanampesa
#zaidiyamtandao
Here is another reason to join the Super Network!
You can now enjoy 5G on the go on your Samsung phone!
To experience unmatched browsing speeds, update your OS,
#MoreThanANetwork
#YaKwanzaTanzania #Voda5G
Kula burudani ya muziki hadi stress zikate ukiwa na Jimwage data ndani ya Mtandao supa. Piga *149*01# kujiunga. #WajanjaPopote na #MtandaoSupa #Vodacom
Retweet kuingiza picha yako kwenye Mosaic ya kwanza Tanzania ya "Instagram Bure" kutoka Vodacom Tanzania au Tweetpic ukitumia hashtag #InstagramBure na mention usiache hii ikupite. Kuwa Supa na Instagram bure piga *149*01# kujiunga.
Habari njema ni kwamba, miamala kwenda mitandao ya simu na benki za nchini KENYA, UGANDA, RWANDA, na BURUNDI sasa inakamilika papo hapo kupitia M-Pesa. Wajulishe ndugu na jamaa kuwa sasa, #afrikamasharikiniyako! Piga *150*00# > Tuma pesa > Tuma pesa kimataifa.#duniakijijinampesa
Pandisha kifurushi chako cha Dstv papo hapo kupitia My DStv app ndani ya M-Pesa App.
Pakua M-Pesa App kupitia Google Playstore au AppStore.
#MpesaSuperApp #ZaidiYaMtandao
Pokea malipo kupitia M-Pesa bila kuogopa TOZO na ujiweke
kwenye nafasi ya kushinda zawadi nyingi sana kila wiki.
Tumia M-Pesa App au Piga *150*00# kufanya muamala wowote
wa M-Pesa uingie kwenye droo za ushindi kila wiki.
#MpesaImeitika #PesaniMpesa
Ukiwa na mtandao supa wa Vodacom popote ulipo tunakuwezesha kufuatilia na kujifunza masomo yako mtandaoni ukiwa na kifurushi cha Jimwage Data.
#WajanjaPopote na #MtandaoSupa
#Voda5G ni ya kwetu sote na itaenda kuleta mageuzi ya jinsi tunavyoishi na kufanya kazi kidijitali si tu katika sekta binafsi ila pia serikalini na haswa kwenye sekta muhimu zinazogusa moja kwa moja maendeleo ya jamii.
“Vodacom has made it” #YaKwanzaTanzania
Nchi nyingi zaidi duniani zimesogezwa kiganjani mwako kupitia M-Pesa.Pokea pesa kutoka hadi nchi 200 dunia nzima na ufurahie sikukuu yako pamoja na uwapendao.
Tumia M-Pesa App au piga *150*00# >Tuma pesa>Tuma pesa kimataifa
#ConnectingAfrica #AfrikaniMpesa #ZaidiYaMtandao
Songesha muamala wako ujipatie nyongeza ya salio lako la M-Pesa papo hapo ukamilishe mchongo wako. Songesha miamala yako kiulaini mara nyingi zaidi kadri ya kiwango chako. Tumia M-Pesa App au Piga *150*00# > Mikopo na Akiba > Songesha. #pesanimpesa #songesha #showlovetuleshangwe
Je, unafuatilia mitandao yetu ya kijamii?
Kaa karibu na kurasa zetu kupata huduma kwa haraka.
#NiRahisiTu #PamojaTunaweza
Vuta mkopo papo hapo na wezesha wakala ukuze mtaji wa biashara yako.
Piga* 150 *00 #> wezesha wakala
#MaishaYanaendaNaM-Pesa #ZaidiYaMtandao
Habari njema ni kwamba, sasa unaweza kukatia chombo chako cha moto bima kubwa au ndogo kwa urahisi na haraka kupitia M-Pesa. Tumia M-Pesa App au piga *150*00# > Huduma za kifedha > VodaBima na kuchagua mtoa huduma kulingana na mahitaji yako. #vodabima #lindachakolindamazima
Je wajua vitu gani vina matumizi makubwa ya data? Tizama video kujua zaidi. #NiRahisiTu PamojaTunaweza
Ni msimu wa sikukuu, tembelea duka letu la karibu yako, nunua simu kwa Lipa kwa M-Pesa upate zawadi.
Wakimbize popote ulipo ukiwa na 4G ya ukweli isiyokwama. Piga *149*01# kisha uchague 1 kujiunga na bando kali. #KimbizaNa4GYaUkweli #PamojaTunaweza
Malizia miamala bila wasi ukiwa na Songesha.
Tumia MPesa App au Piga *150*00#>Mikopo na Akiba>Songesha
#MaishayanaendanaMpesa #Zaidiyamtandao
Iwe wikiendi au siku za kazi, wajanja tuko online wakati wote kwa spidi ya 4G ya mtandao supa. Ukiwa na kifurushi cha Jimwage Data unapata GB za kutosha za kukuweka online wakati wote. Piga *149*01# kujiunga. #WajanjaPopote na #MtandaoSupa
Habari. Tumerudisha vifurushi vyetu vyote vikiwemo na vya Ya Kwako Tu ambavyo vinabadilika mara kwa mara kulingana na matumizi yako, na ofa hii inatofautiana kwa kila mteja. ^OE
Wajanja kutoka Mtandao Supa tunateleza mtandaoni na vifurushi vya Intaneti wiki nzima kutoka Vodacom pekee.
Piga*𝟏𝟒𝟗*𝟎𝟏# 𝐤𝐢𝐬𝐡𝐚 𝟑 > 𝟐 kujiunga #ZaidiYaMtandao #PamojaTunaweza
Ukiwa na Songesha hakuna tena #Njaanuari kwani sasa unaweza kusongesha miamala mingi zaidi na huduma ya Songesha hata kama una salio pungufu la M-Pesa
Piga *150*00# >Chagua huduma za kifedha>kisha chagua songesha kujiunga.
#SongeshaKubwaZaidi
#SongeshaNaMpesa
#KweliPesaniMpesa
Ni Rahisi Tu!
Jihudumie kwa urahisi kwa kurudisha miamala iliyokosewa kwa kupiga *150*00# kisha chagua 7 na fuata maelekezo au tumia M-Pesa App #ZaidiYaMtandao
Sisi ni zaidi ya mtandao!
Tuna kila sababu ya kusema sisi ni #ZaidiYaMtandao kwani kupitia bidhaa na huduma zetu tumebadilisha maisha ya Watanzania. Kauli mbiu yetu ni kuiongoza Tanzania katika ulimwengu wa kidijitali na kubadilisha maisha ya Watanzania kupitia teknolojia.
Pata taarifa fupi za matumizi yako ya M-Pesa chap kwa haraka . Cha kufanya Ni Rahisi Tu Piga *150*00# > Akaunti yangu > Taarifa fupi
#Pamojatunaweza#NiRahisiTu
Mtandao Supa unakupatia mpaka dakika mia za kubonga mitandao yote bila wasi na ndugu na marafiki. Jiunge na YA KWAKO TU kupitia *149*03# kujua zaidi.
Pata huduma kutoka mtandao supa kwa kupitia barua pepe: customercare@vodacom.co.tz #NiRahisiTu #PamojaTunaweza
Kwa kupitia huduma yetu ya M-Pesa, sasa kila Mtanzania anaweza kufanya miamala kwa urahisi ndani na nje ya nchi.
Je, maisha yako ya kijamii au kibiashara yamebadilishwa vipi na huduma yetu ya M-pesa? #ZaidiYaMtandao #PamojaTunaweza
Waweke karibu uwapendao kwa kuwatumia pesa kiurahisi zaidi kupitia M-Pesa wakiwa popote Afrika Mashariki au nchi za kusini mwa Afrika. Furahia dakika za bure papo hapo kupiga nchi uliyotuma pesa.
Tumia M-Pesa App au Piga *150*00#>Tuma pesa >Tuma pesa kimataifa
Ni mwendo wa kudata datani na Vodacom kwa kupata Bonus za MB hadi mara mbili. Piga *149*01# na chagua Intaneti na ununue kifurushi ukipendacho kujipatia bonus papo hapo. #DataDatani
Usitupe laini zako! Tembelea duka lolote la Vodacom au mawakala wa usajili kusajili namba zako zote za Vodacom na kutoa sababu za matumizi. Endelea kufurahia huduma supa ndani ya #MtandaoSupa.
Tumezindua kwa mara ya kwanza mtandao wa 5G Tanzania. Tunafurahi na kujivunia kuwa wa kwanza kuleta teknolojia hii ya kipekee kwenye soko la Tanzania. #PamojaTunaweza #YaKwanzaTanzania.
Kifurushi chako, bei yako na Jimixie bando. Chagua MB, DK, SMS au Combo. Piga *149*01# chagua Ya Kwako Tu kisha Jimixie bando. #Jimixie #MalizaMwenyewe
Mwendo wa kutamba kibabe kwa kurusha content za nguvu ukiwa na MB za Bonus za mtandao supa. bofya link hii kupata bonus zako sasa vda.cm/datadataninaMB
Usisubiri kuhadithiwa huku M-Pesa mambo yameitika na unaweza kujipatia zawadi nyingi sana lakini kubwa kuliko ukaondoka na MJENGO MKALI SANA wenye kila kitu ndani kutoka @ gsmhometz.
Tumia M-Pesa app au Piga *150*00# kufanya muamala wowote wa M-Pesa uingie kwenye droo za ushindi
Faida nyingine ya kuwa na mpango wa Ishi Bila Wasi ni kuhama na bando lako. Jiunge sasa kwa kupiga *149*01# na chagua RED #VodacomREDRLX.
Mwezi huu, ni mwendo wa kubambika zaidi na M-Pesa. Hifadhi mkwanja kwenye akaunti yako ya M-Pesa uzawadiwe hadi Tsh 20,000 papo hapo! Endelea kutumia M-Pesa App au Piga *150*00# > Huduma za kifedha.
Je unafahamu ya kuwa Serikali imeondoa Tozo kwenye miamala ya simu? Sasa unaweza kutuma pesa kwenda M-Pesa, mitandao mingine au benki BILA TOZO! Ndio hakuna Tozo tena!
Ukiwa na M-Pesa, Jiachie na miamala mingi zaidi kidigitali bila kuwaza Tozo.
Tumia M-Pesa App au Piga *15O*00#
Fanikisha malipo ya kibiashara kwenda au kutoka Afrika Mashariki na Nchi za kusini mwa Afrika kwa urahisi na usalama kupitia M-Pesa. Furahia dakika za bure papo hapo za kupiga nchi uliyotuma pesa.
Tumia M-Pesa App au Piga *150*00#>Tuma pesa >Tuma pesa kimataifa.
Leo ni Cyber Monday,
Tembelea mitandao yako pendwa ya bidhaa na huduma na ulipie kwa M-Pesa Mastercard inayokupa usalama na uhakika wa pesa yako.
Piga *150*00#>chagua Lipa kwa M-Pesa>kisha chagua M-Pesa Mastercard kutengeneza kadi yako
#CyberMonday
#MpesaMastercard
#PesaniMpesa
Furaha ya kuwa na uhakika wa mawasiliano ukiwa na kifurushi kinachojirudia cha #VodacomREDRLX. Bofya vda.cm/redrelax kujua zaidi.
Hongera sana kwa washindi wetu wa droo ya wiki hii walio bahatika kujishindia vyombo vipya pamoja na wese full tenki.
Je na wewe ungependa kushinda? Endelea kufanya miamala na M-Pesa ili ujiongezee nafasi ya kuingia kwenye droo za kila wiki.
Unapohitaji pesa za fasta kwa ajili ya biashara yako, Wezesha Wakala inakupa wewe wakala mkopo wa hadi siku 30 papo hapo. Kuza biashara yako kwa kuvuta mtaji fasta kutoka Wezesha Wakala. Piga *150*00# > Wezesha Wakala. #wakalasongesha #pesanimpesa
Tunajali maisha ya mama na mtoto na kila siku tutaendelea kuyaboresha kupitia teknolojia. Huduma zetu zinazolenga kubadilisha maisha ya watanzania ndio zinatufanya tuwe #ZaidiYaMtandao.
Je, una maoni gani kuhusu huduma yetu ya M-mama?
#PamojaTunaweza
Unacheki kipindi na hitilafu zinakatisha uhondo? Zirekebishe kiurahisi papo hapo kupitia My DStv app ndani ya M-Pesa App
Pakua M-Pesa App kupitia Google Playstore au App store.
#MpesaSuperApp #ZaidiYaMtandao
Wajanja tunalindana popote na Mtandao Supa.
Full mawasiliano muda wote, popote tulipo bila wasi wasi, kupitia Jimwage data, kwa spidi ya 4G.
#WajanjaPopote na #MtandaoSupa
#DataNaAFCON inakupa mzuka wa kufurahia burudani ya soka katika mashindano ya #Afcon19 kila unapoishangilia Taifa Stars ukiwa na #MtandaoSupa. #NiZamuYetu sasa jiunge na Soka Letu kupitia *149*84# kuweza kupata nafasi ya kwenda Misri na Zawadi kemkem.
Tuma pesa bila kwikwi hata ukiwa na salio pungufu la M-Pesa.
Songesha na M-Pesa.
Piga *150*00# > chagua Huduma za Kifedha > kisha chagua Songesha kujiunga.
#SongeshanaMpesa
#UsikwameSongesha
#PesaniMpesa
Hudumia wateja wako bila mawazo na Wakala Songesha. Pata nyongeza ya kubusti floti papo hapo pale salio linapopungua kutoka Wakala Songesha tena bila ya makato yoyote. Piga *150*00# > Wakala Songesha. #wezeshawakala #pesanimpesa
January ni slopu tu ukiwa na songesha.
Tumia M-Pesa App au Piga *150*00#>Mikopo na Akiba>Songesha
#MaishayanaendanaM-Pesa #Zaidiyamtandao
HATUKAMATIKI!
Karibu kila kona ya Tanzania panashika 5G kutoka Mtandao Supa.
Furahia kasi ya 5G bila kikomo nyumbani au ofisini bila wasi wasi kwenye mikoa zaidi ya 12. Kuunganishwa, tembelea tovuti vodacom.co.tz/5G au piga 0754100100 #MtaaniPanashika #YaKwanzaTanzania
Ni Rahisi Tu na VodaTube! Tembelea tovuti yetu ya vodacom.co.tz >> kisha bofya 𝐕𝐨𝐝𝐚𝐓𝐮𝐛𝐞, kujisajili na kufahamu zaidi.
Je, wewe ni mfanya biashara mtandaoni? Ongeza soko la biashara yako mtandaoni ukiwa na 4G ya ukweli isiyokwama. Piga *149*01# kisha uchague 1 kujiunga uwakimbize. #KimbizaNa4GYaUkweli #PamojaTunaweza
Tusheherekee kwa pamoja miaka 10 ya ubunifu wa kutuma na kupokea pesa kutoka kwa ndugu na jamaa. Kweli #PesaNiMPesa.
Unaishije kwa wasi wasi na wakati VodaBima ipo kwa
ajili ya kuhakikisha maisha yanakwenda? Jikatie Bima
ya Maisha uhakikishe wategemezi wako wako sawa
kwa ajili ya maisha ya baadae.
Tumia M-Pesa app Piga *150*00# >huduma za kifedha > Vodabima.
#LindaAfyanaVodabima
Tunafahamu mahitaji yako na ndiyo maana tunakupatia uhuru wa mawasiliano kupitia chaguo la bando mahususi linaloendanana na matumizi yako la Ya kwako Tu. #ZaidiYaMtandao
Mtag unayependa kubonga naye ukiwa na kifurushi cha Ya Kwako Tu. #PamojaTunaweza
Sasa unaweza kumnunulia rafiki yako kifurushi cha RED muendelee kuwasiliana kwa urahisi. Piga *149*01# na chagua RED. #VodacomREDRLX
Nunua vifurushi vya Vodacom na Tuzo Points na wewe uwe hewani na mtandao supa Tanzania. #Nunuavifurushi #Ishikituzo
Kuza kiwango chako cha Gawio la M-Pesa unapofanya malipo ya bidhaa na huduma mbalimbali kupitia huduma ya #LipaKwaMPesa. #PesaNiMpesa.
Ni Rahisi Tu kujifunza kuhusu bidhaa na huduma zetu mbalimbali ili ujihudumie pindi unapopata changamoto yoyote. Kikubwa cha ziada, kumbuka unapotumia VodaTube huchajiwi MB zako.
Fuata hatua hizi chache kufahamu namna ya kufungua akaunti. #ZaidiYaMtandao #VodaTube
Weka akiba, pata faida na toa michango mbalimbali ya kiimani na ya kijamii kama Zakat, Sadaka na mengine kwa Halal pesa.
Piga *150*00# - Chagua huduma za kifedha – kisha chagua Halal pesa.
#FaidikaNaHalalPesa
#PesaNiMpesa
