Umoja wa MataifaVerified account

@UmojaWaMataifa

Akaunti rasmi ya Umoja wa Mataifa. Kwa amani, utu & usawa katika ulimwengu wenye ustawi.

Global
Joined August 2009

Tweets

You blocked @UmojaWaMataifa

Are you sure you want to view these Tweets? Viewing Tweets won't unblock @UmojaWaMataifa

  1. Pinned Tweet

    2021 ni mwaka muhimu kwa uamuzi wa . Kulinda sayari yetu ni kwa masilahi ya kila mtu & kila mtu ana jukumu lake. . Angalia jinsi unaweza kusaidia kujenga ulimwengu endelevu zaidi:

    Undo
  2. Karibu dozi milioni 4 za chanjo zimewasili barani Afrika kupitia utaratibu wa COVAX! Usafirishaji barani umeshika kasi, kwani theluthi moja ya nchi zinashuhudia kuongezeka kwa hatari ya visa vya . kupitia

    Undo
  3. Walinda amani wa huhudumia amani na , kwa kuhatarisha maisha yao katika mazingira magumu ili kuwasaidia wenye mahitaji. Tunawashukuru wanapohudumia amani, licha ya changamoto zinazoletwa na .

    Undo
  4. Kapate yako! Wiki hii, chanjo ya kwaza imewasili kwa hisani ya Marekani, kupitia mpango wa . yaahidi kuendelea kufanya kazi na nchi hiyo katika kudhibiti maambukizi ya au .

    Undo
  5. Retweeted

    Janga la UVIKO-19 limefichua udhaifu wetu uwezo wetu. Katika ulimwengu wa sasa tumeona jinsi magonjwa ya kuambukiza yanavyoweza kuenea kwa kuvuka mipaka, miji,mitaa kwa kasi Zaidi. Matendo ya kilasiku kama kunawa mikono, kuvaa barakoa na kukaa kwa umbali kuna weza kuokoa maisha.

    Undo
  6. Ni Siku ya Kimataifa ya Urafiki! Katika nyakati hizi ngumu za , Tuendelee kuwasiliana Na tutende wema , tutashinda. 🎨: Andre Levy

    Undo
  7. Manusura huchangia pakubwa katika kupambana na usafirishaji haramu wa wanadamu. Mwaka huu, tunamulika haja ya kusikiliza na kujifunza kutoka kwa manusura. Zaidi kutoka Ijumaa, siku ya :

    Undo
  8. Leo ni ! Urafiki baina ya watu wenye mila, dini, umri ama lugha tofauti ni kiini cha amani duniani. Zaidi. 2000, walinda amani wa kutoka Ureno wakitembea na marafiki hawa wakati wakifanya doria huko East Timor.

    Undo
  9. "UN imeahidi kusikiliza na kuitikia sauti za waathiriwa na manusura wa usafirishaji haramu wa wanadamu." -- kuhusu Ijumaa, siku ya kupinga ujangili wa wanadamu. Zaidi:

    Undo
  10. Retweeted
    Jul 29

    Utafiti wa unaonyesha mabadiliko ya tabianchi yasababisha mafuriko kwenye Ziwa Turkana, ziwa kubwa mno jangwani. Ripoti hiyo ilitoa wito wa kuboreshwa kwa ushirikiano wa kimataifa na mikakati ya kukabiliana na na hali hiyo. .

    Undo
  11. Majanga ya kiasili yanashamiri. Ili kutimiza lengo la la ongezeko la joto lisilozidi nyuzi 1.5, dunia ni lazima isawazishe uvushaji na ufyonzaji gesi ukaa kabla ya 2050, na kupunguza uvushaji gesi chafuzi kwa 45% kabla ya 2030. 📖

    Undo
  12. Kuna simba marara 3,5000 tu duniani!🌏 Wanyama hawa wanaopendeza wanatishiwa na uharibifu wa mazingira na ujangili. Saidia kuwalinda kwa: 🐯 Kuepuka bidhaa za viumbe pori wanaolindwa kisheria 🐯 Kuunga mkono kampuni zenye sera rafiki kwa mazingira 🐯 Eneza ujumbe!

    Undo
  13. Eti sigara za elektroniki ni sawa? Usinaswe❗️⁣ ⁣ Zina ladha za kuvutia na madai ya kulaghai barubaru. ⁣Bali mivuke yake inaweza kusababisha: ⁣🚨 saratani 🫀 magonjwa ya moyo 🫁 matatizo ya mapafu⁣ 🧠 madhara kwa ubongo wa watoto ⁣ Regram:

    Undo
  14. Katika karne iliyopita, idadi ya simba marara duniani imepungua kwa 95% kutokana na upotevu wa mazingira na ujangili. Leo hii, simba marara mateka ni wengi zaidi kuliko wa mwituni. Leo , fahamu inavyojitahidi kuwalinda simba marara:

    Undo
  15. Unakana Corona? Uliza koo zilizokumbwa na janga -- Rais wa akizindua kazi ya utoaji chanjo dhidi ya . Amsesema chanjo hiyo iliyowasili nchini Tanzania mwishoni mwa wiki kupitia mpango wa UN wa COVAX ni salama. Zaidi:👉

    Undo
  16. Takriban watu milioni 2 wamelazimika kuhama makwao na mzozo unaoendelea eneo ya , Ethiopia. Wengi wao ni watoto, na wanakumbwa na madhara makubwa. Fahamu inavyotoa usaidizi kwa afya yao ya akili.

    Undo
  17. Je, umepimwa? Leo Julai 28 ni Siku ya Homa ya Ini. ni fursa ya kuongeza juhudi za kitaifa & kimataifa kukabiliana na homa ya ini kwa kuhimiza hatua na ushiriki wa watu binafsi, wadau, na asasi za umma.

    Undo
  18. Michezo hufundisha wasichana: 👏 Kuwa na mshikamano 💪Kuwa wahimili na jasiri 🤼‍♀️ Kuamini ushirikiano kazini Wanawake michezoni hupinga itikadi za kijinsia & na mila, kuwa vielelezo & kuonyesha usawa. Zaidi: via

    Undo
  19. Je, umepimwa? Takriban 90% ya watu wanaoishi na virusi vya hepatitis hawajui kuwa wanavyo. Jumatano, , inatoa wito kwa nchi zipanue huduma za kupima na kutibu mapema ili kunusuru maisha.

    Undo
  20. Walinda amani hawa wa kutoka Thailand hawajikiti tu ulinzi wa raia wa . Wanashirikiana na , kutoa mafunzo ya kilimo cha mazao ya chakula na mapishi kwa raia ili wajitegemee. Zaidi: 👉 📸:

    Undo
  21. Mlinda amani huyu na wanzie kutoka wanahudumu kwa ajili ya amani na , wakiacha familia zao nyuma, na kwenda mbali kuwalinda wengine. Tunawashukuru kwa huduma na kujitoa kwao.

    Undo

Loading seems to be taking a while.

Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.

    You may also like

    ·