Pole sana mama, hakika inaumiza kusikia ndugu zetu wametutoka. Pole nyingi kwako na familia ya wahanga kwa ujumla. Tuzidi kuwa makini wakati wa kutumia vyombo vya moto, Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, amina.
-
-
Kiitos. Käytämme tätä aikajanasi parantamiseen. KumoaKumoa
-
-
-
Kumbe ulifuata mkondo wa JPM, taarifa zako wakati huu unatumia kiswahili.
-
Ulitaka atumie Nini? Lugha ya Taifa Ni ipi?
Keskustelun loppu
Uusi keskustelu -
-
-
Mama pia jemedari magawa nae kaumaliza mwendo

Kiitos. Käytämme tätä aikajanasi parantamiseen. KumoaKumoa
-
-
-
Mama pole zako tumepokea lakini hii aibu unaionaje?https://twitter.com/IAMartin_/status/1480806563862532098?t=QCOs1_iF33Upoq1WnCtzuw&s=19 …
Kiitos. Käytämme tätä aikajanasi parantamiseen. KumoaKumoa
-
-
-
Kiitos. Käytämme tätä aikajanasi parantamiseen. KumoaKumoa
-
-
-
Tupo mahakamani tunaona wewe siyo binadamu ....wewe Ni Muongo .Mbowe siyo gaidi
Kiitos. Käytämme tätä aikajanasi parantamiseen. KumoaKumoa
-
-
-
Pole ya wote muheshimiwa raisi! Lakini imeandikwa wapi kuwa misafara ya wakuu kukimbia kasi na kutofuata sheria za barabarani? Kwani wakiendesha taratibu au kawaida hawatafika?? Kunahaja ya kuangalia limit ya mwendo kwa misafara ya viongozi! Rest in peace

Kiitos. Käytämme tätä aikajanasi parantamiseen. KumoaKumoa
-
-
-
Kiitos. Käytämme tätä aikajanasi parantamiseen. KumoaKumoa
-
-
-
Poleee sana mama ila pia niko njee ya mada fedha za mikopo ulizotoa vyuo zile 570B wanafunzi hazijatufikia paka muda huu tunakufa njaa
Kiitos. Käytämme tätä aikajanasi parantamiseen. KumoaKumoa
-
Lataaminen näyttää kestävän hetken.
Twitter saattaa olla ruuhkautunut tai ongelma on muuten hetkellinen. Yritä uudelleen tai käy Twitterin tilasivulla saadaksesi lisätietoja.