Simon J.Msenga.

@SimonMsenga

Telecom Student UDSM||DSM Coordinator ||Teams coordinator ||Former G.S(CoET) & USRC member for ||Activist||Tanzanian🇹🇿

Dar es Salaam, Tanzania 
Vrijeme pridruživanja: lipanj 2015.
Rođen/a 15. prosinca

Tweetovi

Blokirali ste korisnika/cu @SimonMsenga

Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @SimonMsenga

  1. Prikvačeni tweet
    3. sij

    Proverbs 29:11-12 [11] Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote; Bali mwenye hekima huizuia na kuituliza. [12] Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu.

    , , i još njih 6
    Poništi
  2. proslijedio/la je Tweet

    Membe kuhojiwa CCM Februari 6

    Poništi
  3. proslijedio/la je Tweet

    Leo Februari 4, 2020, Mwenyekiti wa Mhe. akiwa pamoja na Viongozi wengine wa Chama na Baraza wakisaidiana na waombolezaji kubeba jeneza la mwili wa marehemu Mzee Muhadini Mohamed ambaye ni Baba mzazi wa NKM wa Bawacha, Zanzibar, Asia Muhadini Mohamed.

    , , i još njih 4
    Poništi
  4. proslijedio/la je Tweet
    prije 28 minuta

    Ukienda ugenini ukakuta kuna mtoto wa umri wa primary, na ni familia bora, basi tengeneza mazingira dogo asikuzoee sana Watoto wa siku hizi wana maswali magumu sana na homeworks ambazo ukikaa vibaya kanaeza kukuaibisha! Tena usiombe kawe kanaitwa Junior sijui nini nini huko 😂

    Poništi
  5. proslijedio/la je Tweet

    Ni Kuhusu Yeye (It’s About Her). Judith Wambura (Lady Jaydee) alizaliwa mkoani Shinyanga mnamo tarehe 15 Juni,1979. Alianza kuimba akiwa na umri wa miaka saba. Alianzia kuimba kanisani kama ilivyo kwa wasanii wengi.

    , , i još njih 4
    Prikaži ovu nit
    Poništi
  6. proslijedio/la je Tweet

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano , Mhe. , akitoa pole kwa Naibu Katibu Mkuu wa Bawacha, Zanzibar, Mhe. Asia Muhadini Mohamed, aliyefiwa na Baba yake mzazi mzee Muhadini Mohamed, aliyefariki jana na kuzikwa leo, Jumanne, Februari 4, 2020, Zanzibar.

    Poništi
  7. proslijedio/la je Tweet

    Maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuhusu wanaotaka wanafunzi wanaopata mimba kuendelea na masomo. Ametoa kauli hiyo katika ziara aliyoifanya Shule ya Keko Minazini kuangalia ujenzi wa madarasa.

    Poništi
  8. prije 2 sata
    Poništi
  9. proslijedio/la je Tweet
    prije 8 sati

    Unavaa manukato gani au unadhani kunuka kikwapa na jua hili ni kipimo cha udume? Tunazo hadi za mjengoni

    Poništi
  10. proslijedio/la je Tweet
    prije 5 sati

    Kuuliza si ujinga. Ipi ni hatari zaidi kwa taifa, ufisadi, ubakaji au ushoga?

    Poništi
  11. prije 3 sata
    Poništi
  12. proslijedio/la je Tweet

    Mhe waziri usifikirie kila anayekuja Tanzania ana nia njema,na waafrika tuna ukarimu ambao baadaye hutugharimu maana tunawaingiza hadi chumba cha kulala bila kutafakari.Hawa wanatumia njia nyingi kutushika na kupata taarifa.Tafakari

    Poništi
  13. prije 5 sati
    Poništi
  14. proslijedio/la je Tweet

    . yasherehekea kumalizika kwa mafunzo ya Askari wa Kikosi cha Kulinda Amani Afrika (APRRP) kwa kukabidhi vifaa kwa Jeshi la Wananchi (JWTZ) vyenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 18. Habari zaidi

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  15. proslijedio/la je Tweet
    prije 5 sati

    imekumbwa na vifo vya mfululizo mara tatu katika kipindi kifupi: Waliokufa Moshi kwa kukanyagana, Lindi kwa mafuriko na wanajeshi kwenye mazingira ya kutatanisha. Pamoja na kuwaombea marehemu na kutoa pole kwa wafiwa tuombe Mungu atufunulie, kunani?

    Poništi
  16. proslijedio/la je Tweet

    Kwa kweli mnatufanyia DISSERVICE. Nimesoma article nzima na sijaona popote Bashiru kuwa ONYA makada. Nimesoma alivyokuwa analaumu Social Media na kujitetea. Lakini HAJALANI wala HAJAWAONYA Makada wanaochochea UUAJI wa WAPINZANI!

    Poništi
  17. proslijedio/la je Tweet
    prije 6 sati

    Kabla ya kuchukua Kadi ya Chama Chochote cha Siasa Hakikisha unafahamu hata Historia, Malengo, Taratibu, na Baadhi ya kanuni ya Chama hicho. Nabishana na Mwanachama mmoja hapa ananiambia "Chama Changu kinatumia Ilani ya Mwaka 1978" 😅

    Poništi
  18. proslijedio/la je Tweet

    Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson akikabidhi vifaa vya thamani ya US$ 18M (TZS 41.6B) kwa JWTZ kama sehemu ya Kikosi Maalumu cha Kulinda Amani Afrika. Pamoja naye ni Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo na Waziri wa Ulinzi, Dkt Hussein Mwinyi.

    Poništi
  19. prije 6 sati
    Poništi
  20. proslijedio/la je Tweet
    prije 6 sati

    Wanataka tuwe mashoga, waende na misaada yao 😂😂😂

    Poništi
  21. proslijedio/la je Tweet
    prije 6 sati

    Today as we get the shocking news of the passing on of the second Kenyan President Hon Daniel Arap Moi, I would like us to take this important message from him. Video hii uwe ni ukumbusho mzuri kwetu waTanzania katika dunia hii kuwa tofaut za kiitikad zisifanye tukose utu. RIPMOI

    Ovo je potencijalno osjetljiv multimedijski sadržaj. Saznajte više
    Prikaži ovu nit
    Poništi

Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.

Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.

    Možda bi vam se svidjelo i ovo:

    ·