pablo muu escobar

@MumuuOfficial

dont cry about having too much on your plate if your plan was to eat... am simple just get to know me...

Dar es Salaam, Tanzania
Vrijeme pridruživanja: lipanj 2018.

Tweetovi

Blokirali ste korisnika/cu @MumuuOfficial

Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @MumuuOfficial

  1. proslijedio/la je Tweet
    prije 23 sata

    Tupo kwenye dunia ambayo watu wetu wa karibu hawapendi tufanikiwe, wanataka kila siku tuwe chini yao, kila siku tuwaombe wao, ukifanikiwa madongo, chuki na roho mbaya wengine hata wako radhi kuroga ushuke, na kinachouma zaid unakuta ni ndugu zako, tupambane tu GM Fam 💜

    Poništi
  2. proslijedio/la je Tweet
    prije 23 sata

    Ukitaka kuwa na furaha katika maisha yako huna budi kujijengea mambo matatu, kukinai, kuridhika na kiasi.

    Poništi
  3. proslijedio/la je Tweet
    3. velj

    Namna unavyopokea kukataliwa kwa ombi lako la kwanza ndivyo unavyoongeza au kupunguza uwezekano wa kukubaliwa ombi lako la pili. Hata katika kupokea jibu usilo pendezwa nalo, usikose shukrani na daima weka akiba ya maneno. Itakuwekea wepesi katika ombi lako la pili.

    Poništi
  4. proslijedio/la je Tweet
    2. velj

    Ukiomba ajira na ukapata, ni vyema ukaiheshimu kazi hiyo. Ikibidi nenda mbele zaidi kwa kuingalia ajira hiyo kana kwamba ni yako na wewe mwenyewe umejiajiri. Ukifanya hivyo uaminifu utakuwepo na utajenga ukaribu wenye manufaa na muajiri wako.

    Poništi
  5. proslijedio/la je Tweet

    Ukisikia mwenye uwezo analaumiwa kwa kutosaidia nduguze, usikimbilie kumlaumu, ndugu wengine ni kama gunia la misumari.

    Poništi
  6. proslijedio/la je Tweet
    1. velj

    Jitahidi sana kupambana na matatizo yako watu wengine hawana au wana muda kidogo sana wa kuyakumbuka matatizo yako hata kama ni ndugu zako

    Poništi
  7. proslijedio/la je Tweet

    Sometimes you just have to be done. Not mad, not upset. Just done.

    Poništi
  8. proslijedio/la je Tweet
    30. sij

    "Mwanaume mpe mwanamke sikio, mwanamke mpe mwanaume jicho. Mengine yatajipa yenyewe". Hekima kutoka kwa Baba Helena

    Poništi
  9. proslijedio/la je Tweet
    29. sij

    Ahadi inayohitaji kukumbushiwa zaidi ya mara tatu ni fedheha inayokunyemelea. Ili kulinda utu na heshima yako, asipokumbuka mara 3 usikumbushie tena.

    Poništi
  10. proslijedio/la je Tweet
    28. sij

    Hii nayo ni MUHIMU SANA ndugu zangu...SANA.

    Poništi
  11. proslijedio/la je Tweet
    23. sij

    Ni ngumu kukibadilisha kile unachoweza kukivumilia. Uvumilivu hatimaye hukupa ganzi na usugu. Uvumilivu usipite kiasi. Uvumilivu unaopita kiasi ni unyonge.

    Poništi
  12. 19. sij
    Poništi
  13. proslijedio/la je Tweet
    17. sij

    "Ukishaamua kutoka nje ya nyumbani kwako, oga na pendeza jumla huwezi jua unakutana na nani uendako. Ukisema usioge tu ndio unakutana na wale watu muhimu ambao usingependa kukutana nao katika muonekano hafifu". Mshauri wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe

    Poništi
  14. proslijedio/la je Tweet
    16. sij

    Furaha yako wakati mwingine inategemea na kutokujua taarifa au ukweli fulani. Kwepa kutafuta taarifa na kuujua ukweli ambao ama haukuhusu au moyo wako hauko tayari kuupokea na kuhimili. Huwezi kuumizwa na usilolijua.

    Poništi
  15. proslijedio/la je Tweet
    15. sij

    GOD FIRST.

    Poništi
  16. proslijedio/la je Tweet
    15. sij

    Si kila mwanga ni nuru. Mwanga mwingine unaumiza macho na kupofusha.

    Poništi
  17. proslijedio/la je Tweet
    13. sij

    Kindly rt, 800rts needed niongwe na mtoto . 😂😂😂 "Mtoto la urusi ukivaa unaoendeza vaa gauni la harusi, nyuma unavyorudo mbele unavyokwenda..".

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  18. proslijedio/la je Tweet
    13. sij

    Kwenye maisha tuna machaguo mawili tu kupambana au kukata tamaa, sasa kazi kwako kupambana mpaka kieleweke au kukata tamaa na kuanza kuchukia watu bila sababu mwisho uwe mchawi bure,Goodmorning fam💜

    Poništi
  19. proslijedio/la je Tweet
    13. sij

    Vile tulioko single kwa sababu za kijinga tunavyo haha kutafuta chocho za DM tuzame 🤣🤣🤣🤣

    Poništi
  20. proslijedio/la je Tweet
    13. sij

    In this world, its only you and your God and your family... no body else is gonna ride for you... just these, and btw family is not guaranteed... God is. 📌

    Poništi

Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.

Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.

    Možda bi vam se svidjelo i ovo:

    ·