MR BEN

@Eric_Bernard94

Proudly To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mwananchi, Mporipori.

university of daresalaam
Vrijeme pridruživanja: listopad 2014.

Tweetovi

Blokirali ste korisnika/cu @Eric_Bernard94

Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @Eric_Bernard94

  1. Prikvačeni tweet
    prije 11 sati

    "Endesha Kesi yangu dhidi ya wapinzani wangu, Ee Mungu Upigane na wale wanaopigana nami.Ushike ngao ndogo na ngao kubwa,na usimame ili unisaidie" (Zaburi 35:1-2)

    Poništi
  2. proslijedio/la je Tweet
    prije 4 sata

    Hakutumia Pombe wala sigara.Akaliongoza taifa la Kenya kwa miaka 24,wakamuita Professa wa Siasa,akagawa maziwa kwa watoto shuleni huku akipinga uvaaji wa Nguo fupi na zinazobana.Arap Moi ametangulia akiwa na miaka 95.Leo Wakenya wana debate juu ya legacy yake,wamkumbuke kama nani

    , , i još njih 7
    Poništi
  3. prije 3 sata

    Hivi ni Kweli Valentine Utakuwa Single Bado au Kuna Lolote linaweza kujitokeza Kuanzia Leo?

    Poništi
  4. proslijedio/la je Tweet
    prije 16 sati

    Waziri wa Afya, akiongea na Waandishi jana alipotembelea Jengo la 3 la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)kukagua namna walivyojiandaa kudhibiti maambukizi ya virusi vya vinavyosababisha homa ya mapafu, vilivyoanzia nchini China.

    , , i još njih 4
    Prikaži ovu nit
    Poništi
  5. prije 6 sati
    Poništi
  6. prije 6 sati

    Tangu Siku ya kwanza Namuona Huyu Binti Hapa Twitter nilizama kwenye penzi lake, Moyo wangu ulimdondokea Yeye, lakini kila nilivyomtazama Machoni niliona Dharau na Chuki aliyonayo juu Yangu ila Mimi ndivyo nilivyo nawapenda wasionipenda nawakubali Wanaonichukia.

    Poništi
  7. prije 9 sati

    Naumia Sana nisipoona mwendelezo kutoka kwa ladies wa kitanzania..

    Poništi
  8. proslijedio/la je Tweet
    prije 13 sati

    Mapema sana Fizzle anachomesha timu yake hii ni Baada ya kunawa mpira maksudi ndani ya 18 VAR inasema mpira uliguswa na mkono wakati anaruka Ndipo Madenge hakufanya makosa Alipiga Penalty Matata sana.. 😂🙌

    , , i još njih 7
    Poništi
  9. prije 9 sati

    Ndani ya Daladala Hapa Konda Kapayuka.. "Oyaa Dereva Kanyaga Mafuta" Abiria Wote Wameinuka Kwenye Seat Zao!

    Poništi
  10. proslijedio/la je Tweet
    prije 11 sati

    Ukitumwa upeleke ujumbe mbaya kwa mtu usiufikishe kama ulivyoupokea. Uchuje uondoe mihemko na hisia ubakishe hoja tu. Binadamu ana hulka ya kutuma ujumbe mkali sana akipitia kwa mtu kuliko akiufikisha mwenyewe usoni kwa mhusika. Ukiufikisha kavukavu utageukwa na aliyekutuma.

    Poništi
  11. proslijedio/la je Tweet
    prije 10 sati

    Lala salama Mwamba.

    Poništi
  12. prije 10 sati

    Ikitokea Umempenda Mtu sana ila mwishowe akakukatisha Tamaa Chuki Yako Juu yake Huongezeka Maradufu.

    Poništi
  13. proslijedio/la je Tweet
    prije 11 sati

    Huu ndio Ushindi usio na Kifani huwezi hata kuuelezea yaani sema nini hii falsafa ya Kiganyi nzuri sana kwamba "Ufanye Mpira ufate unachokitaka wewe sio wewe uufate mpira" Saafi hivyo yaani hapa tunasubiri home kuteleza tu 😂 😂🙌

    , , i još njih 7
    Poništi
  14. proslijedio/la je Tweet
    3. velj

    Be brave enough to embrace humility. The reward will be confidence.

    Poništi
  15. prije 20 sati

    Mnasemaga Vitu vya China ni Feki Mbona Sasa Mnaogopa Virusi vya Corona?

    Poništi
  16. proslijedio/la je Tweet
    prije 22 sata

    Yeah kama mnavyoona hapo yaani Mpira aliopasiwa Gift na kuuacha utoke ukamkuta ndugu yetu PoJAFFAH hakufanya makosa akamchungulia kipa kakaeje kisha akauchop tu choop.. Kamba na ni dakika ya 88 hiyo tumeshawapiga 3 tayari..😃 😅🙌

    , , i još njih 7
    Poništi
  17. prije 21 sat

    Kaka Kumbe hadi ww Hujui Uzuri wa Bangi? Unatukosea Sana Usikubali Maneno ya watu wachache wanaoifanya Bangi ionekane Mbaya!

    Poništi
  18. prije 21 sat

    Mwanaume unawapa Tamu Wanaume Wenzio? Imekaaje Hii Wadau?

    Poništi
  19. prije 22 sata

    Brother Una post Demu Mkali Sawa unajuana Nae Ila Uwezo wa kuwa Nae Huna Watunuku Washkaji Unakaza Nini Sasa?

    Poništi
  20. proslijedio/la je Tweet
    3. velj

    Amesema kuwepo kwa miongozo tofauti ilisababisha kutokuwepo kwa usawa katika tiba za wagonjwa lakini pia kulikuwa na changamoto ya mgonjwa kuendelea na tiba sahihi pindi akipewa rufaa kwenda Hospitali nyingine.

    Poništi

Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.

Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.

    Možda bi vam se svidjelo i ovo:

    ·