Dicha

@Dichadefender

balldance @defender@ looking for money 💰💰💰💰💰

Vrijeme pridruživanja: siječanj 2020.

Tweetovi

Blokirali ste korisnika/cu @Dichadefender

Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @Dichadefender

  1. proslijedio/la je Tweet
    prije 23 sata

    "Unaamua kulala kidogo usahau matatizo yako mara paaap Unayaota" 😂😂

    Poništi
  2. 4. velj
    Poništi
  3. proslijedio/la je Tweet
    4. velj

    Tupo tayari kwa mkutano wetu na Watanzania wanaoishi Marekani. Karibu siku ya Ijumaa tuzungumze kuhusu mustakabali wa Nchi yetu na kuhami demokrasia yetu

    Poništi
  4. proslijedio/la je Tweet
    4. velj
    Poništi
  5. proslijedio/la je Tweet
    4. velj

    Kwenye hili suala la Meja Kunta kuonekana ni uongo nasikia Steve Nyerere kamaindi sana, Sijui hata kwanini.

    Poništi
  6. proslijedio/la je Tweet

    "Watu wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile wana hatari kubwa ya kupata saratani ya njia ya haja kubwa" Dk Hellen Makwani, Daktari Bingwa wa Saratani

    Poništi
  7. proslijedio/la je Tweet

    1/5 I wish to congratulate the people of Malawi on the historic verdict of their judiciary which has shown courage to nullify the rigged election. I commend their institutions, including the judiciary & security services, which have stood firm in defence of the Constitution.

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  8. proslijedio/la je Tweet
    4. velj

    PUT GOD FIRST. PRAY EVERYDAY.

    Poništi
  9. proslijedio/la je Tweet

    Ukiwa SINGLE Hata Ukilala Kwenye Chandarua Chenye Dawa Bado MBU Wataendelea Kukung'ata Tu 😂

    Poništi
  10. proslijedio/la je Tweet
    3. velj

    Ushauri wa Bure... Usipende kuchezea simu ya mganga maana uta delete mizimu😂

    Poništi
  11. proslijedio/la je Tweet
    3. velj

    Wapwa Leo Tuinuane Kidogo Kwa Kuongeza Followers Retweet Hii Tweet Then Comment Follow Back Kisha Follow Watu Watakao Retweet Hii Tweet Na Kulike Reply Yako....Watakufollow Back

    Poništi
  12. proslijedio/la je Tweet
    3. velj

    Mbwana kashaitwa akaulizwa tumekusajili ww au nchi nzima? 😀

    Poništi
  13. proslijedio/la je Tweet
    3. velj

    Before you assume, try asking first.

    Poništi
  14. proslijedio/la je Tweet
    3. velj

    😳 Mabeberu wanatutaka lini lakini? Kwanini waeke picha ya namna hii?

    Poništi
  15. 3. velj
    Poništi
  16. 3. velj
    Poništi
  17. proslijedio/la je Tweet
    3. velj
    Odgovor korisnicima

    Watanzania wanaboa wanaenda kuleta tabia za uswahili kwa wazungu tabia za mpira wa primary kwamba lazima mtu wanaompenda apasiwe mpira yeye kila saa... kuna mtu anaijua aston villa kuliko grealish kashuka nayo kapanda nayo kuna kipindi spurs walimtaka ila akasusa mpk team ipande

    Poništi
  18. proslijedio/la je Tweet
    3. velj
    Odgovor korisniku/ci

    Wewe cheza mpira! Nenda kaangalie mawe anayopigwa Sterling na Pep ndiyo utajua hao hawatukanwi wanaimbiwa nyinbo za birthday! Focus kwenye kucheza mpira mambo ya washabiki wanafanya nini siyo responsibility yako! Usijipe kazi isiyopo kwenye contract yako!

    Poništi
  19. proslijedio/la je Tweet
    1. velj

    Hamna kitu ilikuwa inakera kama kipindi kile unanyata usiku kwende kwenye chumba cha bekitatu mara mguu unadumbikia kwenye sufuria linapiga keleleeeee 😫😫😫😫 😂😂😂😂😂

    Poništi

Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.

Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.

    Možda bi vam se svidjelo i ovo:

    ·