Mr. Msalamo 

@Diazz56356642

Born to champion ⚽⚽⚽ Upcomimg Mil💲& 2030 MP,,,,,,, I trust in GOD🙏

Dar es Salaam, Tanzania
Vrijeme pridruživanja: prosinac 2019.

Tweetovi

Blokirali ste korisnika/cu @Diazz56356642

Jeste li sigurni da želite vidjeti te tweetove? Time nećete deblokirati korisnika/cu @Diazz56356642

  1. proslijedio/la je Tweet

    Hoja nzito za mh zitto ccm wanazijibu kwa kutumia uvccm ni ujuha wa kiwango cha juu sana, zitto ndani ya VOA msikilize....

    Poništi
  2. Mtoto wa kiume unaweza kupita popote hata kama ni sehemu hatarishi ilimradi tu umridhishe mkeo/Mpenzio. Hiyo ni sehemu ya barabara ambayo ilizidiwa na maji hadi kuwa hivyo hadi msimu wa mvua utakapoisha. Lakini mwisho wa siku wanawake mnataka haki sawa na sisi,,,

    Poništi
  3. unaempenda kwa thati yeye hakupendi, Na mda huu yuko kwa anaempenda kwa dhati. Lakini huyo hampendi kwa dhati sema wako anajipendekeza tu. bora iwafikie wazazi wangu vipenzi siku ya tarehe 14

    Poništi
  4. Msimu huu wa siku ya wapendanao duniani nadhani ni mda mzuri wa kuwa karibu na demu wako ambae ana kiburi cha asili ili umuache tarehe 14 ya mwezi huu wa mapenzi na kung'oa demu mkali. wa kweli hapaswi kutabirika.

    Poništi
  5. proslijedio/la je Tweet
    prije 8 sati
    Odgovor korisniku/ci

    Amen

    Poništi
  6. Zawadi kubwa ni kuamka mzima wa afya,,,, Vizawadi vingine ni tamaa tu, Ahsante kwa zawadi hii na awabariki nyote mnaesoma post hii 🙏🙏🙏🙏

    Poništi
  7. Una hata kiwanja cha kujengea nyumba au ndo bado unataka ufaamike kwa kudate na mademu wengi hapa mjini!? 😀

    Poništi
  8. proslijedio/la je Tweet
    Odgovor korisnicima

    Kabisa, tena ata iyo ni mingi mno, kwa kawaida mwanamke kufikia 22 at least uwe kwenye serious relationship

    Poništi
  9. proslijedio/la je Tweet
    Odgovor korisniku/ci

    Washakuliza Kaka duuuu pole

    Poništi
  10. mda wa kutengeneza mazingira ya kuolewa mwisho miaka 25. Ukipita hapo wewe kuolewa ni kwa neema za .

    Poništi
  11. Kwanini wengi mnakuwa wezi!? Jamaa keshasema kakupenda na kakulteta getho, kwenda tu bafuni ushasachi na kuondo na vijisent vyake, Vitakusaidia nini wewe mtoto wa !? Ndiyo maana hamuolewi acheni wizi wa kijinga pumbavu nyie 😏

    Poništi
  12. 4. velj

    na mtaji mara 2 ya aliokuwa nao yeye na bado nasonga mbele zaidi huku nikimtanguliza mwenyezi Mungu ktk kazi zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mwana, Nimruhusu aje nimuwezeshe au nimuache ajifunze kuwa maisha kuna kupanda na kushuka!? tafadhali.

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  13. 4. velj

    zi, alikaa Kahama kwa mda kama wa miezi 2 akienjoy maisha. Ila week moja iliyopita nimepokea simu yake akidai aje huku nilipo na nimuazime 1M ya mtaji ila yeye anayo nauli tu yani 25000 tu na hata ya kula hana, Kwa upande wangu nashukuru Mungu ni mwema na ameniinua sana ni,

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  14. 4. velj

    sho, Baada ya mda mchache jamaa alibadilika na kuwakoromea wana bila mi kujua, Eti kwanini wamenionesha chimbo!? Mi sikuwahi kumuuliza kwanini alikuwa ananibania kwani niliamini Mungu pekee ndiyo mwamuzi wa yote. Baada ya miezi 3 alirudi Kahama na kuniacha mie nakomaa na ka,,

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  15. 4. velj

    u ndiyo "Mbona jamaa anaema tusikuoneshe chimbo tunalochukulia mzigo!? " Nikamjibu jamaa kwani chimbo ni lipi!? "Mtukula chimbo lipo kama vipi kesho twenzetu" Nilipokwenda pale ndiyo ikawa afadhali kidogo matunda ya ugenini huku naanza kuyaona na nikakomaa na kazi mwanzo mwi,,

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  16. 4. velj

    fate wote mzigo ili kupunguza gharama, kumbe jama ana chimbo lake la kuchukulia mzigo pale Mtukula ila kawatonya wana wasiniambie pale kama pana chimbo la mzigo, Baada ya kuwatonya wana wale mmoja wa wale wana akanifata na kuniuliza "Oya huyu mwana ni jamaa yako!? " Nikajib,,

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  17. 4. velj

    ma msaada wake kwangu ni nauli ya mzigo tu. Mimi nilikaa kimya na kujisemea kimoyomoyo poa tu acha nikomae ukiwa Bukoba kwenda boda ya Mtukula yani Uganda na Tanzania ni kama km 70 au nauli yake ni 5000 kimzigo changu kilikuwa kikiisha yani hadi nimsubiri yeye amalize ndo tu,,,

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  18. 4. velj

    uza viatu, Jamaa alikuwa tayari mtaji wake ni 3M Ths na mimi mtaji wangu ni 100K jamaa akaniambia sasa cha kufanya tuchukue mzigo wa viatu hapa tupeleke Bukoba na akaniambia nitakusaidia kulipia nauli ya mzigo, Mie ikabidi nimuomba hata 500K ili iwe kama mtaji ila alise,,,,,

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  19. 4. velj

    ri, akaishi Kahama mambo yakawa safi lakini kwa upande wangu huku Dar hayakuwa poa, Nikaona ngoja nimpigie jamaa wenda atanisaidia,,, Nikampigia simu akapokea nikamuelezea shida yangu na akaahidi kunisaidia, Mda ulipowadia nikaenda Kahama na biashara zetu zilikuwa ni ku,,,,

    Prikaži ovu nit
    Poništi
  20. 4. velj

    ongo mara mambo yakawa vizuri akarudi akamchukua mke wake wakaja kuishi Dar pamoja, Baada ya miaka kama 3 hivi jamaa akasafiri kikazi mkoani Kahama na huko akakuta mchongo mzuri zaidi akaniambia anahamia Kahama. Mie nikamwambia sawa maisha popote ili mradi tu uyapatie vizu,,,

    Prikaži ovu nit
    Poništi

Čini se da učitavanje traje već neko vrijeme.

Twitter je možda preopterećen ili ima kratkotrajnih poteškoća u radu. Pokušajte ponovno ili potražite dodatne informacije u odjeljku Status Twittera.

    Možda bi vam se svidjelo i ovo:

    ·