@BernardMembe tatizo ushindi wa ccm ni mizengwe..vitisho..wizi wa kura..mauaji na uonevu..
.tofauti kabisa na huko usemako
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe kweli mh upoo sahiii Ila chama hakina tatizo shida ipo kwenye WATU WAKE!!.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mh unapataje ujasiri wakutafsi uchaguzi wa Afrika kwa uchaguzi wa Uk? Ccm imejifunza nini Nigeria? - 1 more reply
New conversation -
-
-
@BernardMembe membe na wenzako ni wakati wa kukaa pembeni ili serikali mpya ya wananchi ifanye kazi.. Tumechoka na siasa za ccm.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe na ww kaa pembeni jimbo lako maskini tu.ccm mmejfunza nn kutoka uchaguzi wa Nigeria? Nchi hii bila upinzani tungekuwa gizaniThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe hii ndiyo mifano ya simba na yanga kwa Arsenal na LiverpoolThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mbona unaenda mbali
@BernardMembe? Ndo maana mnashindwa kujifunza#usafi#Moshi mnaenda#Rwanda. Tusiende mbali.#Nigeria je? Mmejifunza? -
@Dumisha@BernardMembe well said mkuu
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe@Hakingowi waziri kasahau kuwa Nigeria Leo kaapishwa jamaa kagombea zaidi ya mara 2 hiyo mifano watoe BurundiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mh,leo umefanya vizuri sana. PONGEZI KWAKO.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe na ninyi mkishindwa mkae pembeni wanaume wafanye kazi. Viongozi gani hamna plan kwa miaka 50. Msitumie madaraka kubaki ikulu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe . Duuuu! Muheshimiwa, ni wew?@BernardMembe . Wakae pembeni? Ili kitokee ktu gani sasa.#TutaonanaOctobar.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Umenipa raha sana Leo T 2015 BKMThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Kushinda haimaanish u do as u please !! Na uingerez ni tofauti na Tz , sabab uingereza Ina taasis komav za kidemokrasiaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe~ushindani,kuna mawili;kushinda au kushindwa...KIKUBWA haki ifanyike kupelekea kila upande kuridhika!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe its so sad to believe being an opposition means sit aside even things goes wrong their job its on ballot then ufai kua raisThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.