@BernardMembe @Kadulyu Pambana Ili Uhakikishe Wala Rushwa Wanajulikana
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Absolutely....!! Msimamo wako unatambulika.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Kama hupendi rushwa ni sawa. Lakini je unajua wewe na wale ni tumbo moja ?#WakemeeHadharaniKamaLembeliNaBulaya@MariaSTsehaiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe lakini ww binafsi una hela na mali nyingi kuliko mishahara yako na posho zako zote ukizijumlisha tangu uanze kufanya kazi. - End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe lazima useme hivo baada ya scandal. Na hata wana CCM waliopokea rushwa wanasweza kusema maneno makali kuhusu rushwa kuliko ww.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@Hakingowi mh.mambo bd tusubiri tuoneeThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe mbona twasikia ndio mliochukua kwa viroba mgao wenuThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe: Walk the talk mnaongea mengine mnatenda vingine,Chama chako na Tanzania kwa ujumla inanuka rushwa.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mheshimiwa tuunge mkono wananchi kukataa ufisadi nchi hii kwa kusaini tamko hili: https://secure.avaaz.org/en/petition/Wito_kwa_Wabunge_na_Rais_wa_Jamhuri_ya_Muungano_wa_Tanzania_WITO_WA_KUHAKIKISHA_UWAJIBIKAJI_KAMILI_UNATENDEKA_NA_PESA_ZA/?nvEMffb …@HakingowiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe . Asante sana kwa msimo wako juu ya Rushwa. Na sisi watanzania tuko nyuma yako kwa hili.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@GIVENALITY mheshimiwa mbona unajitetea sana?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe kama upendi rushwa tudhiirishie kwa vitendo acha kuogopa chama Mzee Wangu. Maneno bila vitendo hayajengi.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe waweke wazi wala rushwa na mafisadi kuwaficha kila siku hatutaendelea tutabaki kutupiana mpira tuThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe hiyo ndiyo sifa ya kiongozi boraThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe hayo maneno tumeyazoea. Kila mtu anayatumia. Tunataka vitendo.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.