@BernardMembe Problem's you guys treat your people as if they're fools.Govt gani hii ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi ndani na nje ya nchi!
-
-
-
@bernardmembe tuliza ghazabu@chahali wasije wakakufanyia kama Mwangosi, maana hawa majambazi wenye vyeo vya kuitwa mafisadi hawana wema.
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe Siasa mnayofanya sio tu inahusiana na uongo na unafiki bali pia ni ya kihalifu. Mmebaki watu wa kukanusha tu. Swali: WHY YOU? -
@Chahali@BernardMembe nafikiri Chahali umeuliza swali la msingi sana hapa! Haiwezekani wewe usingiziwe uongo tuu kujibu hutaki! -
@Osckim@Chahali@BernardMembe ni kweli tuhuma sio uhalifu, lkn lazima ujitetee ili ujisafishe, ndio watanzania wanachotaka
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe hebu tueleze wewe ni nn msimamo wako juu hii kashfa ya escrow maana viongozi mpo kimya kama hamjui nn kinaendelea?? -
Tweet unavailable
-
@PeterPreslin1@BernardMembe kafulila hakwenda Israel kuhiji bure, Mungu atawaumbua walafi na wezi wote wa fedha za umma.@werema upoo??
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe CNN wawazushie, BBC wawazushie...well may be wakoloni.Na hili la#ESCROW ni tuhuma kutoka kwa Watanzania wenzenu.Nao wakoloni? - 1 more reply
New conversation -
-
-
@BernardMembe Mh. vita ya kisiasa sio lelema, hasa kwa siasa hizi za kiswahili. Vipi Escrow kuna uwajibikaji?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Haugusii wala kusemea lolote kuhusu#EscrowAccount.Tupe msimamo wakoThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Nadhani mjikite zaidi kwenye kuwaadhibu wezi kuliko kupoteza nguvu nyingi kuficha ukweli na kung'ofoa baadhi ya page za ripoti -
@DavyNguma@BernardMembe hata uliemtweet ni mtuhumiwa......
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe wiz mtupuThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@JoeMugasa itafika mahali Tanzania watu watahesabiwa matendo Yao Kama yanafanana na maneno wanayoyasema Kwa wananchi wao woteThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe :Tunataka ukweli wa yakini kwanza kwa hili LA Tegeta Escrow,uzalendo ni kusema ukweli stahiki kwa manufaa ya Watanzania.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Hatuna imani na wanasiasa. Kama wewe kweli ungekuwa umeshasimama na kutoa msimamo wako. Ukimya nao pia unatufikishia ujumbeThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe mh. Ungekuwa mzalendo usingewakingia kifua wahujumu uchumi wa nchi yetu hasa wale wa pembe za ndovu. Vp na mabilion ya uswis?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.