@BernardMembe Twambieni nani anawaua Tembo wetu? Nani anatorosha Twiga wetu wakiwa hai? Acheni kutufanya watoto Nchi imewashinda wizi tuu.
-
-
-
@makukura vitu hv unavyozungumza ndio vitu ukawa walitakiwa kupigania ila wapo busy na kwenda ikulu.nchi hii kama tumerogwa vile
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe@Hakingowi inawezekana vyombo vya kimataifa vitangaze bila uhakika?ngoja tusubiriThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe blashaka sote tunapokea habar kutoka kwa wanahabar bas walchokisema ndio sahih Tz haina biashara haram na ChinaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Hongera mweshimiwa Membe kwa kazi nzuri unayoifanya kwa kuhakikisha unakuwa makini katika kutimiza majukumu yako ya kitaifaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Lakini mh lisemwalo lipo kama halipo laja usilalame bali lichukulie kama fursa badala ya changamotoThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Hili Jambo ni la kushangaza inawezekanaje mambo hayo kuwa hivyo?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe sio kila mtanzania ni mjinga kma unavyofikiri. You fucking idiotThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@Hakingowi "ingawa bado wananchi hatuja ridhika na kauli ya serikali so ni vyema mngewachukulia hatua waliotuchafua.# mtazamoThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@Hakingowi that is ....to saypic.twitter.com/pVBWtnovZR
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe siku zote uongo hujitengaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Siku zote ukweli utajulikana! Kwa madai mazito kama haya, inaonekana kuna propaganda za kuchafua jina la nchi yetu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@Hakingowi Mh swali moja limebaki nini kimetokea tembo kushuka kutoka 150000 to 13000 wakati Wa utawala Wa mh kikwete?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe we are#sick of this. No one knows where these elephants went. Even you have to cook up a story to hide the curlpritsThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe "uzalendo" in this sense is use to mean naive.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Ki ukweli wanahabari waliyoitoa habari hiyo ni wazalendo kuliko hao waliopewa dhamana ya kusimamia rasilimali zetu,tuwan'goeThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe wanahabari ndiyo wanaoeneza uzushiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe wanahabari walifanya kazi yao ila kazi yako ww bwana membe ni ipi ktk hili?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.