@BernardMembe ila pamoja na uhuru wetu Mheshimiwa, ni busara tukajichagulia marafiki wnye nia nzuri na waTanzania na si marafiki wanafiki
-
-
-
@31e6599c18f344e miaka 50 zaidi toka uhuru, tumeona wengi. Marafiki wa kweli tumeendelea kuwa katika hali zote..
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe Mheshimiwa Waziri, umekuwa makini kuelezea msimamo wa nchi na maana nzima ya nchi iliyohuru.Umeitendea wema nchi yako.hongera! -
@ridhiwankikwete@BernardMembe ivi alitakiwa kuelezea maana ya nchi huru au kujibu tuhuma kwa vigezo vya uchunguz
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe sio suala la kiuchaguliwa marafiki hapa, ni kuhusu utawala bora tu. fanya uchunguzi sio matamko yasiyo na factThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
“
@BernardMembe: Tanzania ni Taifa huru, kamwe hatutochaguliwa marafiki.. pic.twitter.com/vnsi2IHZWv”=> Tutachaguliwa tukizidi kuwa tegemezi
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Ningefurahi kama ungetoa Tamko la kufanya Uchunguzi wa suala hili.#Bajeti bado Tegemezi.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Vyombo vya Habari vya wenzetu viko so Ethical.. suala la#RADA pia mlipingaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe lakini mheshiwa vipi kuhusu uuzwaji wa meno ya Tembo kwa kutumia ndege ya Rais wa China? Ndio hoja mshimiwaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
“
@BernardMembe: Tanzania ni Taifa huru, kamwe hatutochaguliwa marafiki.. pic.twitter.com/vnsi2IHZWv”=> Sio swala la kuchaguliwa marafiki mkuu!
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe kama ni huru bajeti isingetegemea misaadaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Get on track hon Min. Issue si uhuru wa nchi, bali wizi na uharibifu wa maliasili. Ungejibu tuhuma kwa vigezo vya uchunguzi!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe
Happy Birthday Mheshimiwa and keep up good work in defending our national interests!
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mtu anajichagulia rafiki, hakuna anayechaguliwa rafiki daima.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Hata mimi sina imani na ripoti iliyojaa wivu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Uko sahihi mkuu hongera.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe hapo umepotoka, NGO ndio imetoka video mbona kama unaijibu serikali ya Marekani?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Thanks my minister for a timely explanations to these prophets of doom.i support youThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.