@BernardMembe sidhani kama kauli hiyo itasafisha kitu, kinana alisha kiri kuwa meli yake ilibeba ndovu ikakamatwa China. Mlichua hatua gani?
-
-
-
@MohamediMtoi kwa hili la leo sikutarajia majibu mepesi kutoka kwa mwanadiplomasia huyu pamoja na weledi wake wote -
@Erickshilinde hawa jamaa wamechoka akili na upeo wao wa kufikiri umepigwa ukungu.
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe @Erickshilinde tunajua taarifa yako itakuwa ya uongo. Ukitaka toa ukitska acha, haisaidii. -
@NicoKajungu lazima aseme ni mbinu za kutuchafulia uhusiano wetu mzuri na china uliodumu ,wanatuonea wivu,nk! mark my words@BernardMembe -
@Erickshilinde
@BernardMembe Hicho ndicho atakachosema, lakini sio ukweli. Kwanini Selous mwska 2006 tembo wametoka 77000 hadi 13,000?
End of conversation
New conversation -
-
-
Naomba utusaidie kufuatalia tamko ya
@BernardMembe with live updates.@zittokabweThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe MHE unatoa taarifa bila uchunguzi wowote? unless hausimami kusema si kweli..Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Nafikiri undwaji wa tume kulichunguza kiundani utambatana kwenye taarifa yako.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe ni aibu kwa nchi, kila mtu anajua wanaokamatwa na meno ya tembo na kucha za simba ni akina nani. viongozi wananunuliwa.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe we are waiting it on TwitterThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe sawa kiongoz waweke wazi watz waelewa coz inachafua wizara yako au ndo majungu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.