@BernardMembe Pitia maswali,yatafakari na kama itakupendeza yapatie majibu ya dhati na kina.http://kadulyu.wordpress.com/2014/09/04/some-important-questions-for-those-vying-for-presidency-in-tanzania/ … auhttp://kadulyu.wordpress.com/2014/09/04/baadhi-ya-maswali-muhimu-kujiuliza-kwa-anayetaka-kuwa-rais-wa-tanzania/ …
-
-
@BernardMembe Ni kweli Mh lakini pia nadhani tuna sehemu za kuchimbua na kung'oa kabisa na hatimaye kupanda upya. -
“
@Kadulyu:@BernardMembe Ni kweli Mh lakini pia nadhani tuna sehemu za kuchimbua na kung'oa kabisa na hatimaye kupanda upya.” agreed -
@bernardmembe@kadulyu. Kama unachimbua usipande kabla ya kukausha magugu yote ya zamani. Na usijali tabu itakayo kupata kusubili mavuno. -
@JKagaru@BernardMembe@Kadulyu Pia na kumbuka kuyaweka kando kabisa ili yasiwe chanzo cha kukosesha mavuno!
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.