@bernardmembe lakini waziri, hili hoja lilipitishwa mwaka uliopita wakati wa sherehe za Africa@50.
-
-
-
@sarahkimani kilichoamuliwa mwaka jana ni Azimio, Kamisheni ilipewa jukumu la kuandaa utaratibu na mwongozo, leo tumeupitisha -
@bernardmembe Asante waziri, jeshi kama hilo maana tutaweza kujitegemea kama bara la Afrika.
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe Tujikite zaidi katika Demokrasia ,utawala bora na ufuataji wa sheria. Hizi vita zote zinaanzia hapo.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe@yericko_nyerere kubwa zaidi ni usalama wa chakula vita vinasababishwa na siasa za kibaguzi, utepetevu na udhaifu wa watawalaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@jmkikwete yanayo ongelewa niyakweli na yanaelewekaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mungu ibariki AfrikaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@jmkikwete jaman watoto wa kike wanabakwa kwenye haya makambi ya jesh sasa mbona wanatuulia wototo jamn inauma sanaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@jmkikwete hiyo ni hatua nzuri kwa usalama na maendeleo ya nchi zetu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Hiii nadhani itasaidia sana ktk sehemu zote za AU.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe hilo ni zuri lakini mara zote Afrika inacheleweshwa na kauli ya 'No hurry in Africa'. wazo hilo si lilikuwa la GadaffiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Waziri my Swahili is limited.....Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.