@BernardMembe @Semkae Au baadhi yetu wanapenda ushirikiano wa kuiba pamoja na hawa mafisadi? Ushirikiano INDEED! @BernardMembe umeniudhi!
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@Semkae Ushirikiano? Kwa nini tusiwalipe tu wenye teknolojia waje kama wakandarasi? Huu uwekezaji bandia huu ni WIZI!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe lakini sera yetu ya gesi haina upstream policy ambayo ndio muhimu kwa uchumi wa nchi na umiliki wa serikali. tumejifunza niniThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Sir, with regard to Professor Muhongo remark toward domestic investors in Gas and oil industry what is your opinion.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@zittokabwe hizo takwimu za ukubwa duniani Sio issue tunataka a high performance mheshimiwaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Ili Nchi iende katija maendeleo ya kasi tunahitaji viongozi makini kama wewe May God bless.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe hatu taki sisi wangapi duniani tuwaache ndo tushilikiane au watashirikiana nan?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Ni habari njema kwa maendeleo ya taifa letu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@Semkae Saudia wanawalipa tu, wakandarasi wanajenga miundombinu, teknolojia ni yao. Sisi ati twataka ushirikiano? Waje kuiba?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Manufaa KWA wananchi Ni muhimu check Rio Tinto in Guinea Bisau ..Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe tuanze kampuni letu la gesiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe kampuni ya Algeria?waio waliwezaje?sisi tushindwe nini ?tuanze kampuni letu la gesi litakuwa kubwa kuliko laoThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Jambo zuri baba ila cha msingi wanufaikaji wakubwa tuwe sisi watanzania.
@BernardMembe@zittokabweThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@zittokabwe yakwetu ni ya ngapi kwa ukumbwa mheshimiwa? Tunashirikiana vipi ikiwa hatuna kampuni!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@zittokabwe Hongera Mh! Ila tungependa kujua zaidi ushirikiano huo kwenye gesi kivip na tutanufaikaje naoThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.