@bernardmembe @hakingowi hongera mh kwa kazi nzuri
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Ubarikiwe,mungu akuongeze katika shughuri zako za kitaifa.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe safi mkuu. Kazi njema. -
“
@Joealexist:@BernardMembe safi mkuu. Kazi njema.” Asante sana
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe kwani tanzania haiwezi kuendelea bila misaada? -
@TutukiHerman tunapunguza utegemezi wa misaada kadiri uwezo wetu kiuchumi unavyoimarika. Ni jambo la muda sio hali ya kudumu -
@BernardMembe mr membe ni swala la mda mpka lini? leo miaka 52 ya uhuru bado tunapongeza misaada? lini tutajitegemea?
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe hongera kwa kusherekea uhuru kikazi! Ushirikiano wa kujenga nchi always unakaribishwa!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe kiukweli hawa ni rafiki wa kweli wa nchi yetu. Watanzania wengi tumenufaika na misaada yao.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe mh samahani, hivi uhusiano wetu wa kibalozi na Israel upoje? Sisi tunaubalozi Israel? -
@Yericko_Nyerere tunao uhusiano wa kibalozi, hatujafungua ubalozi, tunaye balozi wa heshima -
@BernardMembe asante sana mheshimiwa, je wao Israel wana ubalozi hapa nchini? -
@Yericko_Nyerere Israel hawana Ubalozi nchini, wanawakilishwa na Balozi wao Kenya, sisi tunawakilishwa na Balozi wetu Misri -
@BernardMembe Asante sana Mheshimiwa Waziri, nikutakie sikuku njema na tafakuri tunduizi ya umasikini unaoliandama taifa ilihali ni tajiri
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.