@BernardMembe Hatukukosea kuipokea Rwanda na Burundi EAC. Tatizo ni kwamba Kenya wanaiona Tanzania kama mshindani wake na si mshirika.
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Kenya hadi hivi karibuni ilikuwa ni nchi ya pili kwa kuwekeza Tanzania, sisi hata kuuza maziwa yetu kule tunawekewa vikwazo!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe bado 2nachangamoto nyingi muheshimiwa kuhu#shirikisholaafrikamashariki maslahi yetu sis watanzania muhimu kuzingatiwaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Tukiimarisha ubora na ufanisi katika miundombinu na utendaji wetu (reli, barabara na bandari), wafanyabiashara watakuja tu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Tatizo kubwa ambalo sisi wananchi na nyie mlioko serikalini tunatakiwa tulifanyie haraka ni ufanisi kwenye miundombinu yetu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Kuna baadhi ya WaTz wanasema eti sie tunajivuta miguu tunawachelewesha wenzetu kuungana kisiasa.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Kilichokuwa kinafanywa na Rwanda na Uganda kule DRC ni kitendo cha kihuni na ubabe. Tumekikemea kwa vitendo wanaweweseka.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Umoja wa kisiasa wa EAC utajengwa kwa mifumo endelevu inayotokana na nguvu ya watu si viongozi watatu au watano.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Kiburi cha Rwanda na Uganda kutengeneza huu umoja mpya kinachajishwa na Kenya ambayo inaona kufanya hivyo ni kuipiga bao Tz!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mimi nafikiri it a time kuanza integration na nchi kama DRC ambayo naona ina resource potential zaidi kuliko Kenya na Uganda.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe majirani zetu wameonesha nia ya kututenga japokuwa ss tumewasaidia sana ktk matatizo yao hawan shukrani Tz isikubal kudharauliThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Tanzania haita anguka Kwa kutengwa na EAC bado tuna SADEC ambayo tukiitumia vizuri itakuwa faida kubwa kwetu hasa kiuchumiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.