@BernardMembe hii si Kauli ya Afrika,hii ni kauli yenu viongozi.Tunachotaka kusikia mnaondoa umaskini lini,acheni uzembe fanyeni kazi(3/3)
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Nani aliyewatuma nyie viongozi kupitisha hayo maazimio?? Hayo ni maazimio yenu binafsi viongozi (watawala?)Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Could you share the official communique regarding
#ICC! Thanks@BernardMembeThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Viongozi wote wa Afrika ni wanafkiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@Hakingowi lakini muheshimiwa muwe makiniThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Leo hii mnajifanya mnaongelea kuhusu kutawala,wakati wengine Kati yenu mnakuja chanzo cha vurugu & upotevu wa maisha yetu(2/3)Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe tuna kazi kubwa kuwaelimisha viongozi wetu,hakuna kuongea ni mapenzi ya madaraka na kutojiamini katika utendaji wenu(1/3)Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Hamtaongoza milele. Hata bila ICC kuna siku tutawahukumu na kuwaadhibu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe africa,we are one,we can,WE WILL!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe do we as Africans have a say? What if we feel different? ICC needs to exercise more justice in the world NOT less in Africa.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe ninyi viongozi wa kiafrika ni watenda maovu namba 1 duniani. tena kwa Raia wenu wenyewe. kujitoa ICC kutawapa uhuru zaidiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe je AU imetoa kauli gani kuhusu nafsi 1360 zilizopotea kutokana na machafuko yale 2007/8?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Je Muheshimiwa waziri wewe Binafsi unalichukuliaje suala la kujitoa? Kama AU wamekubaliana Tanzania tukae upande Upi?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.