@BernardMembe je katika hao 27 waliopelekwa ICC kuna aliyeonewa?
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe huu ni upuuzi maana Sirya watu wanakufa au ICC hawapoThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
nazani hiyo mahakama ipo kwa ajiri ya viongozi wa afrika tu au ndiyo kusema waafrika ndiyo wakosefu sana
@BernardMembe@HakingowiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe is it hard to understand? bcoz it is only in africa where major attrocities are comitted by leaders against their own people?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mh kusema ukweli hayo maamuzi ya kuiponda ICC eti tu kwa sababu kesi nyingi zinatoka Africa si sahihi kabisa.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Katika kesi 10 za watawala 'kupindua' katiba, ikiwa ni pamoja na watu kutaka kuzeekea madarakani, tunajua ngapi ni za AfrikaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Kama barani humu ndiko paliposheheni matumizi mabovu ya madaraka, basi ICC inafanya wajibu wake ipasavyo.@williamngelejaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe sasa kama viongozi wa kiafrika wanafanya maovu wasishtakiwe ili kuwepo na uwiano wa kesi?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe katika uwiano hapo ni kesi 3 tu za nje ya africa..haleti maana nzuriThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe inatia shaka,kuvunja uaminifu ktk chombo kinacho aminika kutenda haki,tafsiri kwamba ni viongoz wa africa 2 ndo wenye makosaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe :Mikataba iliyosainiwa na mataifa ya Afrika itabadilishwa ama itakuwaje?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.