@BernardMembe. Mh, hivi ni sababu gani zilizowazuia zamani wasiwe na uraia wa nchi mbili na wakaweza kushiriki maendeleo ya nchi yetu?
-
-
-
@Yericko_Nyerere mazingira huko nyuma ya vita baridi na ujenzi wa taifa vilifanya suala la uraia pacha kutiliwa shaka,wakati huo umepita -
@BernardMembe. Ooho nashukuru sana mh, naomba nikuulize swali dogo nje ya mada hii mh?
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe Na ndio nnchi na wananchi watakapo pata Maendeleo na kuliusaidia Taifa kwa UjumlaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe huoni kuwa wawekezaj ndo watafaid zaid ktk ardhi yetu kwa kgezo nao watz?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.