@BernardMembe Mhe Why don't we put hili suala la Uraia Pacha kwenye Sheria ya Uraia?
-
-
-
@MaqwayThomas@bernardmembe Agreed, it is not a Constitutional matter.. -
@Dullahmwinyi1 Kweli. Haya mambo yanabadilika badilika kulingana na mahitaji ya wakati na itakuwa rahisi ikiwa katika sheria@BernardMembe -
Mhe
@BernardMembe utupe mrejesho wa hili suala baada ya majadiliano na Baraza@Dullahmwinyi1
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe Kwa udhaifu wetu, mataifa yaliyoendalea yanaweza kushawishi 'raia' wao kupewa nyadhifa fulani 'sababu wanaaminika'. -
@BernardMembe Kama wanaipenda sana Tanzania waukane uraia wa kigeni, kama wanataka kote basi tuwanyime haki za kisiasa na uongozi.
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe Wasiwe na haki ya kupigiwa kura au kuteuliwa kushifa nyadhifa kubwa serikalini. Hatutaki kuwa na Waziri/PS mwenye uraia wa US -
@fkezilahabi@BernardMembe kwa nini hutaki wapewe haki ya kupiga kura na nyadhifa serikalini mkuu? -
@KailemboMusa Kulinda maslahi na utaifa wetu. Hawa hata nyumba yetu (Tz) ikiungua wana nyumba nyingine (nchi X) si kama wewe@BernardMembe -
@fkezilahabi@BernardMembe kuea na nyumba nyingine sio sababu ya kukosa uzalendo! Kama m2 ana haki ya kupewa na apewe. it is about time -
@KailemboMusa Sijasema asipewe bali nimependekeza haki atakazonyimwa. Mbona raia wa kuandikishwa hawezi kuwa rais?@BernardMembe -
@fkezilahabi@BernardMembe tofauti na raia wa kuandikishwa hao ni waTZ.. una shauli waTZ wanyimwe haki ya kupiga kura? -
@KailemboMusa Correction: Si watz bali wana asili ya Tz sababu hatuna uraia wa nchi 2 (unless <18). Kupigiwa sio kupiga kura@BernardMembe -
@fkezilahabi yes hatuna uraia wa nchi mbili... ila dont you think watoto wa waTZ in diaspora wana haki ya kuchagua?@BernardMembe - 2 more replies
New conversation -
-
-
@BernardMembe Ni jambo la msingi sana hilo lakini maslahi ya yataifa kwanzaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe impressed by the way your office is embracing social media to update the world about latest events...thumbs up!!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.