@BernardMembe Ardhi iwe mtaji wa kwanza kwa waliohitimu mafunzo ya kilimo. Tufanye professional large scale farming sio subsistence farming
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Kuongeza thamani ya mazao yetu kwa kutilia mkazo uwepo wa viwanda vidogo vidogo na vya kati badala ya kuuza mazao ghafi.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe , ningependa na kushauri wakulima waachiwe wapange bei za mazao yao kuendandana na uwekezaji waliofanya kwenye kilimo - 1 more reply
New conversation -
-
-
Boresha miundombinu na kupunguza madness wakati wa mauzo ya mazao kwa ulanguzi.
@BernardMembe -
“
@Dumisha: Boresha miundombinu na kupunguza madness wakati wa mauzo ya mazao kwa ulanguzi.@BernardMembe”. Haswaa
End of conversation
New conversation -
-
-
Fanya scientific survey kuainisha maeneo yenye tija kwa kilimo. Connect hayo maeneo na njia za usafirishaji kama reli
@BernardMembeThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe jambo muhimu ni kuwasaidia wakulima wetu kwa kuongeza ubora katika uzalishaji na serikali ... http://m.tmi.me/1567s8Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe kuwajengea uwezo wakulima wetu na kuwawezesha kuwa na soko la uhakika la mazao yao ingekuwa mwanzo mzuri kwa TanzaniaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe<wafikiriwe kwa uwezeshwaji tu!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe :miundombinu iboreshwe huko mashambani ili waweze kusafirisha mazao na kufikiwa na migao ya pembeejeo!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Mh.
@BernardMembe tulinde na kukuza soko la mazao ya ndani kwa kudhibiti utoaji wa vibali vya kuagiza mazao ya kilimo nje hovyo hovyoThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe mabadiliko ni uwajibikaji wa viongozi kwa ngazi zoote. pindi mpango unapo fail lazima wananchi wajue nn kinaendelea..Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe......1.Elimu kwanza 2.Tusitegemee mvua 3.Ruzuku kwenye zana zote za kilimo 4.Masoko ya uhakika 5.Miundo mbinu ya uhakika nkThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe "Ningependekeza kuwe na mafunzo ya kilimo nchini ili kuboresha kilimo na kufikia nyanja za juu na za kisasa zaidi.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mafunzo elekezi kwa wakulima,kukuza Masoko ya mazao yatokanayo na kilimo,kutunza Aridhi,sera nzuri za kilimo,Ruzuku yenye tijaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe iwepo sheria ya lazma kwa taasisi za kifedha kutoa mikopo kwa wakulima kama kigezo cha wao kufanya shughuli zao nchini. -
@BaggzyMalone Hili lingewezekana kila kitu kingeenda vizuri sana hata mm ningeingia kilimo -
@piuscasto nimefanya kazi kwenye taasisi ya kifedha iko tz miaka15 na hawalengi wakulima.ni aibu kwa nchi inayotegemea kilimo.@BernardMembe
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.