@BernardMembe hakuna mtanzania aliyepo nje mwenye uwezo wa kuwekaza Tanzania uraia wa nchi mbili ukawa ni kikwazo, hakuna ukweli huo
-
-
Replying to @lifeofmshaba
@lifeofmshaba@BernardMembe mifano hai#dualcitizenship na uwekezaji wa diaspora,Ghana,Nigeria,Pakistan,India nk. suala muhimu kwa diaspora2 replies 3 retweets 0 likes -
Replying to @mashakamashamba
@mashakamashamba Waghana waliwekeza zamani sana, sisi tulichelewa diaspora kwa sasa hakuna hela ya kueleweka@BernardMembe2 replies 0 retweets 0 likes -
Replying to @lifeofmshaba
@lifeofmshaba@BernardMembe uwekezaji wa diaspora nyumbani si fedha tu ila pia rasilimali watu.faida za uraia pacha ziko kwenye wigo mpana.1 reply 6 retweets 1 like -
Replying to @mashakamashamba
@mashakamashamba really? hiyo rasimali watt ipo? wanataka kurudi nyumbani? wanaweza kurudi na kukana uraia walikotoka@BernardMembe2 replies 0 retweets 0 likes -
Replying to @lifeofmshaba
@lifeofmshaba@BernardMembe hakuna sababu ya kukana uraia wa ulikotoka kama sheria imepitishwa na miundombinu iko wazi.muhimu kwetu zaidi2 replies 0 retweets 0 likes -
Replying to @mashakamashamba
@mashakamashamba je hizo nchi zinaruhusu? na kama zinaruhusu ni kwa watu wa namna gani? ni kwa kila mtu?@BernardMembe1 reply 0 retweets 0 likes -
Replying to @lifeofmshaba
@lifeofmshaba@BernardMembe nchi zinaruhusu kutokana na sera za uhamiaji za kwao,kwetu walengwa ni watanzania wenye uraia wa nchi nyingine2 replies 1 retweet 0 likes -
Replying to @mashakamashamba
@mashakamashamba mara nyingi wanaruhusu kama wazazi wako wametoka huko sio kwa wazazi yaani first generation@BernardMembe2 replies 0 retweets 0 likes
@lifeofmshaba unaelewa tofauti kati ya uraia na utaifa? Kipi kinazaa kingine?
-
-
Replying to @BernardMembe
@BernardMembe wewe kama waziri ni jukumu lako kutoa ufafanuzi huo, kama unazani sielewi tofauti ya hivyo viwili ili nielewe,0 replies 0 retweets 0 likesThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.