@BernardMembe hakuna mtanzania aliyepo nje mwenye uwezo wa kuwekaza Tanzania uraia wa nchi mbili ukawa ni kikwazo, hakuna ukweli huo
-
-
@BernardMembe nakushauri uangalie madhara ya kodi kwenye dual citizen, pia kumbuka wageni wenye raia za nchi nyingine watachukua wetu pia -
@lifeofmshaba ungekuwa na msaada kama ungeshauri maangalizo gani yawepo kwenye sheria na sio kukataa wazo zima, hapo ungekuwa unajenga -
@BernardMembe kwa sababu nia ni kusaidia watanzania waliopo nje basi washauri wale na permanent stay za huko waliko wasichukue uraia
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe washauri watanzania walioko nje wachukue permanent stay huko waliko lakini wabaki na uraia wa Tanzania, hiyo ni bora zaidi -
@lifeofmshaba nimekupa fursa ya kutoa maoni yako Wizarani kwetu, nakukaribisha umuone Mkurugenzi wa Diaspora, atapokea maoni yako -
@BernardMembe nakushauri punguza speed na ili suala, linahitaji mjadala mkubwa, hisitoshe halina manufaa kwa taifa ila watu binafsi - 1 more reply
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.