@BernardMembe hakuna mtanzania aliyepo nje mwenye uwezo wa kuwekaza Tanzania uraia wa nchi mbili ukawa ni kikwazo, hakuna ukweli huo
@lifeofmshaba huo ndio uzoefu ulioupata katika miaka yako 10 ya kuishi nje?
-
-
@BernardMembe kuna upotosha mkubwa kwenye taarifa yako, kwanza nchi azifanani katika sheria za uraia, kuhusu mikopo pia kuna upotoshajiThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Kama waziri jaribu kuwa mzalendo, hii dual citizen haina manufaa kwa taifa lenye rasilimali nyingi kama tanzania ni HATARI -
@lifeofmshaba nitafurahi sana kupata maoni yako, tunapotofautiana tunaelishana,niandikie -
@BernardMembe nakushauri uangalie madhara ya kodi kwenye dual citizen, pia kumbuka wageni wenye raia za nchi nyingine watachukua wetu pia -
@lifeofmshaba ungekuwa na msaada kama ungeshauri maangalizo gani yawepo kwenye sheria na sio kukataa wazo zima, hapo ungekuwa unajenga -
@BernardMembe kwa sababu nia ni kusaidia watanzania waliopo nje basi washauri wale na permanent stay za huko waliko wasichukue uraia
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.