@BernardMembe hakuna mtanzania aliyepo nje mwenye uwezo wa kuwekaza Tanzania uraia wa nchi mbili ukawa ni kikwazo, hakuna ukweli huo
@lifeofmshaba je umewahi kuishi nje ya nchi? Nchi gani? Kwa muda gani? Kwa shughuli gani?
-
-
@BernardMembe nimeishi nje kwa karibu miaka 10, hii itakuwa opportunity kwa wakwepa kodi sio diaspora Kama unavyoweka, punguza speed -
@lifeofmshaba huo ndio uzoefu ulioupata katika miaka yako 10 ya kuishi nje? -
@BernardMembe kuna upotosha mkubwa kwenye taarifa yako, kwanza nchi azifanani katika sheria za uraia, kuhusu mikopo pia kuna upotoshaji
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.