OAU pamoja na changamoto zake ilifanikiwa kuwaunganisha waafrika na ukombozi dhidi ya ukoloni. Nchi pekee iliyobakia ni Sahara Magharibi
-
-
Kuwatoa ujinga maskini wenzangu ambao hawana uwezo wa kulipa ada za mamilion
@bernardmembe @awafat si kaz ndogo hiyo -
Ila hata kuikosoa AU ni mchango wangu na pia kuukataa ukolon mambo leo mnaoutetea ni mchango pia @awafat
@bernardmembe
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe@bajabiri kuwapigia kura nyie ni mchango mdogo? -
Yaan hili la kukaa folen na kuwachagua hawaon km sie tuna mchango??? Watawala wana dharau sana bro @awafat
@bernardmembe -
@bajabiri@BernardMembe wanaona kua mchango wanapokuja kuomba kula yu wakimaliza wanatuona sie wapiga kelele tu
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.