OAU pamoja na changamoto zake ilifanikiwa kuwaunganisha waafrika na ukombozi dhidi ya ukoloni. Nchi pekee iliyobakia ni Sahara Magharibi
-
-
@BernardMembe@bajabiri kwani mkuu ni uongo kua AU ni sawa na mbwa asie na meno?Mlimsaidaje gadafi mtu alieibeba AU kwa kila kitu. -
@awafat unaweza kupima miaka 50 ya AU kwa suala moja la Ghadaffi? AU ni nchi 54 haziwezi kukubaliana katika kila jambo
@bajabiri -
@BernardMembe@bajabiri kuna mengi AU imefeli,inawateteaje viongozi wa afrika walioundiwa the hague,hague iko kwa lengo la kuibana africa tu -
@awafat rejea historia ya AU katika kuzuia Rais Bashir asipelekwe ICC na msimamo wa AU juu ya ICC. Nakushawishi usome zaidi
@bajabiri -
Tatizo la viongoz wetu huhisi sisi watz hatujasoma hapo mnakosea sana hamtak critics
@bernardmembe kufel kwa AU hakuhitah degree @awafat -
Miaka 50 ya AU bado bajet zinawategemea hao waliotutawala si kila siku mnatembeza mabakuli? @awafat
@bernardmembe ughaibuni -
@bajabiri mchango wako katika kuimarisha nchi yako na bara lako ni upi? @awafat -
Kuwatoa ujinga maskini wenzangu ambao hawana uwezo wa kulipa ada za mamilion
@bernardmembe @awafat si kaz ndogo hiyo - 1 more reply
New conversation -
-
-
Mh
@bernardmembe hii AU inaanzishwa tuna akili zetu OAU tumeisoma lakin kikweli imefeli,ishu c gadafi ishu si sudanThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.