AU ni sawa na mbwa asiye na meno mmeshindwa kufanya afrika iwe na aman,mlinyamaza gadaf alpovamiwa @bernardmembe bdo mnasaidiwa na mabeberu
-
-
-
@bajabiri siwezi kukushangaa, katika historia watu wa aina yako lazima wawepo na ni muhimu muwepo, na walikuwepo waliohofu umoja wa afrika -
@BernardMembe@bajabiri kwani mkuu ni uongo kua AU ni sawa na mbwa asie na meno?Mlimsaidaje gadafi mtu alieibeba AU kwa kila kitu. -
@awafat unaweza kupima miaka 50 ya AU kwa suala moja la Ghadaffi? AU ni nchi 54 haziwezi kukubaliana katika kila jambo
@bajabiri -
@BernardMembe@bajabiri kuna mengi AU imefeli,inawateteaje viongozi wa afrika walioundiwa the hague,hague iko kwa lengo la kuibana africa tu -
@awafat rejea historia ya AU katika kuzuia Rais Bashir asipelekwe ICC na msimamo wa AU juu ya ICC. Nakushawishi usome zaidi
@bajabiri -
Tatizo la viongoz wetu huhisi sisi watz hatujasoma hapo mnakosea sana hamtak critics
@bernardmembe kufel kwa AU hakuhitah degree @awafat -
Miaka 50 ya AU bado bajet zinawategemea hao waliotutawala si kila siku mnatembeza mabakuli? @awafat
@bernardmembe ughaibuni - 3 more replies
New conversation -
-
-
@BernardMembe Inaelekea tumesurrender ukombozi wa Mayotte!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe halafu kinachosikitisha ni kuwa mkoloni wa sahara ni mwafrika! Au AU inawaweza wakoloni wa Ulaya? Wababe wa Afrika imefail!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
AU ni sawa na mbwa asiye na meno mmeshindwa kuifanya afrika iwe na aman,mlinyamaza gadaf alpovamiwa
@bernardmembe bdo mnasaidiwa na mabeberuThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.