Rais J.Kikwete amewateua Balozi Liberata Mulamula kuwa Balozi wetu Marekani na Bw. Mbarouk Nassor Mbarouk kuwa Balozi wetu UAE
-
-
Replying to @BernardMembe
@BernardMembe. Mh ni sababu zipi zilizomfanya mh rais amhamishe Balozi Malmo kutoka China hadi Ujerumani?1 reply 0 retweets 0 likes -
Replying to @YerickoNyerere
“
@Yericko_Nyerere:@BernardMembe. Mh ni sababu zipi zilizomfanya mh rais amhamishe Balozi Malmo kutoka China hadi Ujerumani?” Imempendeza2 replies 4 retweets 2 likes -
Replying to @BernardMembe
@BernardMembe. Heee? Imempendeza?? Inamaana rais ikimpendeza kufunga balozi zote nje inakuwa hivyo kwakuwa imempendeza? Hakuna taratibu?1 reply 0 retweets 0 likes -
Replying to @YerickoNyerere
@Yericko_Nyerere 'imempendeza' ni kiswahili cha 'perogative', ni lugha ya kudiplomasia zaidi2 replies 1 retweet 2 likes -
Replying to @BernardMembe
@BernardMembe. Hahaa haya mheshimiwa, nasubiri hisani yako swali lile lihusulo fursa za vijana wasomi wa diplomasia kuwa mabalozi nje1 reply 0 retweets 0 likes
@Yericko_Nyerere tunao mabalozi vijana walioteuliwa katika uteuzi wa mwisho uliofanywa Mei 2013.
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.