Nimezindua Baraza la Uendeshaji la Chuo cha Diplomasia linaloongozwa na Mwenyekiti Balozi Mwanaidi Maajar mchana huu
-
-
@BernardMembe sawa mheshimiwa ukija bungeni tunakuomba tena uje udom kwa public lecture wanafunzi wanakuhitaji bado -
@amanikizuguto nikialikwa na uongozi na ratiba ikiruhusu nitakuja. Napenda mijadala na wasomi, inasaidia kunoa mawazo na mitazamo yangu pia
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.