Rais J.Kikwete amewateua Balozi Liberata Mulamula kuwa Balozi wetu Marekani na Bw. Mbarouk Nassor Mbarouk kuwa Balozi wetu UAE
-
-
@BernardMembe. Heee? Imempendeza?? Inamaana rais ikimpendeza kufunga balozi zote nje inakuwa hivyo kwakuwa imempendeza? Hakuna taratibu? -
@Yericko_Nyerere 'imempendeza' ni kiswahili cha 'perogative', ni lugha ya kudiplomasia zaidi -
@BernardMembe. Nashukuru sana mheshimiwa kwa majibu yako mazuri, ombi langu muhimu ni kuwa ninakuomba ujiunge na@JamiiForums -
@Yericko_Nyerere ni kweli sio mwanachama wa@JamiiForums lakini hupita napopata muda kujisomea. -
@BernardMembe. Oooho safi sana mh, lakini kuna hoja kule zinazokuhusu ambapo jamii ya kule ingependa ujibu wewe direct@JamiiForums
End of conversation
New conversation -
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.