@SwahiliBible swala jema ambalo @BernardMembe wangelifanya ni kuingia kwa njia ya mazungumzo na kama kweli walio watuma wanataka amani #DRC
-
-
@BernardMembe @Erickshilinde Kwa mtazamo wangu kuna nchi mojawapo inayopakana na Congo inaunga mkono waasi wa M23!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe @Erickshilinde Mheshimiwa M23 Wanapata wapi na wanapitisha wapi vifaa vyao vya kivita kwani Congo hawana bandari, -
@amanimdima unapo zungumzia ishu ya#drc mkuu tazama mwanzo kabisa chanzo cha kifo cha raisi wao wa kwanza utajua nani muusika anajulikana -
@Erickshilinde Ndio maana nashangaa kama kweli wana uwezo na dhamila ya kweli kwanini hawakati mizizi?wanakwenda kupigana na dagaa!
-
@amanimdima wachochezi wa vita huko#DRC dio hao wanano watuma watanzania kinafiki if i could be kiongozi ningelikataa kupeleka majeshi -
@Erickshilinde kwasababu wanajeshi huwezi ukawaweka polini miaka yote hiyo bila pesa na siraha haziuzwi kama karanga!
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.